Kwanini wahindi, wazungu na waarabu hawapati ajali za bodaboda?

nimeshangaa leo iweje chombo kimeeendeshwa na wazungu toka canada wakati wazawa wapo, tena walienda kozi kabisa.
 
Hivi hao "Wahindi, Waarabu au Wazungu" uliowataja si Watanzania? katika "uchunguzi wako huru" ulikuwa ukiwauliza Uraia wao?
nadhani alikuwa haongelei uraia wa kufikia. Waarabu wazungu na wahindi sio weusi, sio raia wa asili, bendera ina rangi nyeusi na kuna sababu. Sio blond.
 
ukizingatia sheria za barabarani kuna asilimia kubwa ya kubwa ya kufika salama.
 
Haeapati sababu wao wachache sawa na waafrika uingereza nao pia hawapati hovyo kule ni wachache sana waafrika wanaopata ajari ukilinganisha na watu wa jamii yao.
 
nasi abiria ni sehemu ya lawama...kupenda vya nafuu....
bodaboda.jpg
jz-bodaboda-pg2-daypix-191213.jpg
Huyo mjamaa wa nyuma si mwanaume huo mkono wake wa kushoto umeshika wapi?
 
sasa wachina watuletee na majeneza pamoja na miguu bandia + VIAGRA maana kama hujafa, basi utapata ulemavu ukikosa vyote UTABAKI TASA kama si HANi.THi
 
Tatizo ni ufahamu na kujitambua. Mswahili anapokuwa hajapanda pikipiki ufahamu wake anakuwa nao lakini akishapanda pikipiki akili ya ufahamu na kujitambua kwake vinabakia pale alipopandia na akiwa barabarani ni sawa na mwendawazimu. Utaona mtu anapita taa nyekundu, ana overtake kushoto, hajavaa kofia ngumu nk. Ukimwona mtu wa aina hiyo jua ufahamu wake haupo.
 
Kupanda bodaboda hasa za Dar ni sawa na kujinyonga mwenyewe ili ufe !!!!! madereva wa bodaboda ni wezi/walevi/wala unga/majambazi kwa asilimia 70%.
 
Uliowataja wako makini zaidi..hawa wengine hata chini ya miguu ya traffic police wanapita....tuna tatizo kubwa...bodaboda taa za barabarani haziwahusu ....wao ndo wana haraka kuliko wasafiri wengine...ajali haziwezi kuisha. Mtu kama anapita taa nyekundu asubuhi saa mbili mbele ya traffic polisi anayeongoza magari, unategema nini
 
Mi naona tutenge eneo la Makaburi maalum kwa ajili kuzikia hawa jamaa wa Bodaboda! na juu ya kaburi tuweke na hiyo bodaboda aliyopata nayo ajali.
 
Ukiangalia barabarani ajali zinazotokea au ukienda Wodi za hospital nyingi hapa nchini hutakuta Wahindi, Waarabu au Wazungu wamepata ajali ya Bodaboda (pikipiki) japo wao ni watuamiaji wazuri sana wa usafiri wa aina hii.

Mfano mzuri, jijini Dar wahindi wengi wanatumia zaidi pikipiki kuliko daladala na magari binafsi lakini watu hawa huwakuti wamepata ajali ovyo ovyo tofauti na watanzania ambao kila siku wanakatwa miguu na kufariki. Tatizo ni nini? watanzania hawatumii akili katika kuendesha bodaboda? wanapenda kushindana na kutofuata sheria? Nini mtizamo wako.?

KARIBUNI.

Ngozi nyeusi shida tupu
 
Mi naona mda mwingine abiria nachangia sana kutokea kwa hizi ajali... Utakuta mtu anamwambia dereva akimbize ili awahi kufika huko aendako...
Abiria inabidi umpe bodaboda msimamo wako... Labda hizo race zingine wanafanya hivyo... Afu si unajua tena huwezi muendesha mzungu kama unavyomuendesha m'bongo!!!
 
Back
Top Bottom