Nitaapply tu vyuo vya serikali wakianza kupokea maombi around mwezi wa sita 2017Umepanga kuingia chuo gani?!
Kwa vyuo vya serikali ni laki Tisa na sehemu na private million moja na sehemuNa ada ngazi ya cheti huwag kiasi gani mfano medical laboratory science
Kwa mwakaNa hyo inakuwa mwaka mmoja au miwili?!
Hata mm naona najidanganya ila mwakan nataka nianze diploma ya hiyo kituNi kozi ninayoipenda nilijaribu kujishawishi kusoma kozi za afya ila naona kama najidanganya ninaamua kufata moyo wangu
Hua nashaangaga sana mtu wa iT anapokosa ajira, hivi hata kufanya project binafsi mmeshindwa?? Basi mnaelimu ila maarifa hamna!Kasome certificate of nursing ,certificate of medicine ,certificate of medical laboratory ,certificate of pharmacy nk hizi ndoo ziko poa na unapewa ufadhili wa kusomeshwa na serikali ukichaguliwa vyuo vya serikali achana na IT ,kama mwenye diploma au degree ya IT Amalia ajira je ? Wewe mwenye cheti ?

Nenda kasome afya ndoo kozi pekee iliyobaki na ajira za uhakika kwingine njaaAsante kaka kwa ushauri wako mpaka hapa mawazo yako nikiunganisha na yangu ntapata maamuzi yaliyo sahihi
Ubalikiwe sana
Hiyo project IPI ?hapa bongo ambayo haijawahi kufanywa ? Na project ipi ambayo unaweza kufanya bila capital ? Acha kudanganya watu Nina washikaji kibao wamesoma IT degree /diploma/Cheti wanalia njaaHua nashaangaga sana mtu wa iT anapokosa ajira, hivi hata kufanya project binafsi mmeshindwa?? Basi mnaelimu ila maarifa hamna!![]()
Je ? Mimi mkuu naweza pata afya serikalini ? Kwa kozi ya certificate of medicine ? Kwa ufaulu huu ,physics C,chemistry, C and biology ,D, English, C, mwaka 2010 ndoo nilimaliza naweza pata ?Mtoa mada kwa ufaulu huo ulio nao usiende kabisa kujichimbia kabuli huko IT ww tulia u apply course za afya hizo ndio zitakupa ajira haraka japo ufaulu wako itakuwa ngumu kupata serikalini ila jipange na private ukapigie Clinical medicine
IT ukiwa na kompyuta yako na maarifa yako inatosha cha muhimu ni kuelewa soko linaendaje ila kama mtu anategemea ajira IT za kuajiriwa, IT haifai hata kidogo hapa TZ lakini ni sekta ambayo bado haijatumika vizuri ila ina fursa nzuri tu?.Hiyo project IPI ?hapa bongo ambayo haijawahi kufanywa ? Na project ipi ambayo unaweza kufanya bila capital ? Acha kudanganya watu Nina washikaji kibao wamesoma IT degree /diploma/Cheti wanalia njaa
Wakati mwingine kwenye maamuzi hutakiwi kufata ushauri wa Mtu, usisome kwa ajili ya kuajiliwa utaishia kulalama tu, Maana sasa ivi ajira zenyewe shida, we soma kitu unachokipenda mambo ya ajira utakuta mbeleni, yaani certificate tu unaanza kuulizia ajira wakati unamiaka 3-5 ya kusomaNinafikiria kuanza certificate kozi ya IT. Ninaomba kujuzwa kuhusiana na hii kozi. Je iko marketable, na jinsi ilivyo
Jaribu bahati yako mkuu, udahili wa government una ushindani sana na inategemea na mwaka ila wewe unaweza kupata mana 2010 hio sio ma BRN wakizungua jitupie engineering kati ya Civil,mecha au ElectricalJe ? Mimi mkuu naweza pata afya serikalini ? Kwa kozi ya certificate of medicine ? Kwa ufaulu huu ,physics C,chemistry, C and biology ,D, English, C, mwaka 2010 ndoo nilimaliza naweza pata ?