Ungekuwa ke ningekufafanulia hiyo chura ni ya kazi gani mkuu!heee!!!kazi za ndani na chura wapi na wapi
KhaaaaaaChura ipo?
bila shaka utakua ni wale jamaa wa mtabdaoUngekuwa ke ningekufafanulia hiyo chura ni ya kazi gani mkuu!
Huyu sio mtu halisi na madai yake si halisi pia.Dada ulieanzisha hii thread nakupa pole kwa kua umekuja sehem ambayo sio sahihi na zaidi ya 80% wanaosoma hii post hawana msaada zaid wanataka kulala na wewe tu ama kukuchezea kwaio ushaur wang kua makini na pia sehem kama hizi sio salaama sana kutoa namba zako na zaidi picha zako zinaweza kutumika vibaya. Kwaio nakushaur tafuta namna nyingine ya kupata unachohitaji bila kero hizi manaa naamin ushapata kero za kutosha...watu wanawaza ngono tu dada hapa
....malizia tu hujaolewa ila ushashusha injini,a.k.a single mother;Kuolewa ama kutokuolewa hakumzuii k
Mtu kufany kaz....Wengne Naona hawapo serious.....CJAOLEWA
Watu Wana majb ya hovyo sana wakat mwngne....malizia tu hujaolewa ila ushashusha injini,a.k.a single mother;
...unaficha wataka enda iba vinguo na maziwa ya watoto wa watu kwani?
Vipi na yeye ameomba kazi(mzigo)?Mwenye Namba 0678853904
Shika adabu yako....M co mpumbavu mwenzio.....
Haaaaaahh haaahh..!watu wanalilia ajira lakini kama ni wa jinsia "KE" unapata chap chap.! Ni full kuwa EmployedKazi umepata
hayo ndo tunayo-ogopa ni hatari kweli mkuuUtapata kazi la msingi uwe serious juzijuzi binti wa kazi ka disappear na mtoto wa miaka minne sijui kama walimpata so tuweni makini na tujue background zao,wadhamini ikiwezekana kwao na wazazi wake wengine washirikina,Mungu atusaidie kwa kweli!
hayo hayo majibu ya hovyo ndo kipimo cha jinsi unavyoweza kucontrol hasira yako mangi;Watu Wana majb ya hovyo sana wakat mwngne
Kwaio msaada wenu ni kumjibu ovyo kwa kujitetea kwamba mnampima uwezo wa kucontrol.hasira zake...hayo hayo majibu ya hovyo ndo kipimo cha jinsi unavyoweza kucontrol hasira yako mangi;
...komaa kabla ya umri,vingine unapotezea tu!
EtiKwaio msaada wenu ni kumjibu ovyo kwa kujitetea kwamba mnampima uwezo wa kucontrol.hasira zake...
na wale walioenda inbox kwake kutaka ngono nae nao wanampima pia au
....usijivike uwakili;mwenyewe amesema alipoweka namba alitegemea yote!...na tambua si kila mwenye msaada anacomment,wapo wanaosoma tu!Kwaio msaada wenu ni kumjibu ovyo kwa kujitetea kwamba mnampima uwezo wa kucontrol.hasira zake...
na wale walioenda inbox kwake kutaka ngono nae nao wanampima pia au