Recent content by derickmashauri

  1. derickmashauri

    Natafuta kazi nina certificite ya business administration

    eeh kweli tafuta tu utapata!! derickmashauri@gmail.com
  2. derickmashauri

    Athari kuu tano za mazingira

    Yani athari za mazingira tu kila sehemu
  3. derickmashauri

    Athari kuu tano za mazingira

    wana jf ninaomba mnisaidie athari kuu tano za mazingira na changamoto tano unazoweza kuzikabili katika utekelezaji wa shughuli za mazingira
  4. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    hvi jaman hizi selection kuna kuhama kweli shule ka hauitaki
  5. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    duuuuh,bora niend chuoni tuuuu,
  6. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani mbna hawa wanakatisha tamaa
  7. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    hvi za mwaka jana zilitoka tareh ngapi???
  8. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani hawa watu hawatutakii mema
  9. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    ndio watajiunga agost??mi ninavyojua wamesha enda shule
  10. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani eeh nmeona kweny page ya tamisemi kna link imeandikwa KUJIUNGA KIDATO CHA TANO AGOSTI 2015 lkni haifngukiii
  11. derickmashauri

    Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

    jamani lini hizi post za pili zinatoka mimi cjaelewa kabisaa nisaidien tafadhalii
  12. derickmashauri

    Post za wanafunzi waliokosa shule Kidato cha Tano

    je kama mimi ni mwanaart alafu comb imebalance yanCCB,CCC,CCC,naweza kuchaguliwa nin gpa ya 1.9
Back
Top Bottom