Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

hawa TAMISEMI si watoe tu hizo post! wakuu hivi shule nyingi za advance wanafunga lini shule mana hawa tamisemi hatuwaelewi sijui wanataka kutoa lini sasa kama zimekamilika si wazieke mtandaoni
 
tuandamane mpaka makao makuu ya tamisemiiiiiiii j3 wao si wamehaidi wiki hii watatoa sasa wasipotoa j3 tuwafate hukohuko kwanzia hasubui adi jioni mpaka wazitoe haiwezekani before awajapanga tusubiri.washapanga bado tena tusubiri now ni miezi miwili sasa tupo nyumbani uwajibikaji hupo wapi hapo najua amuwezi ona machungu kwa vile watoto wenu wapo private inauma sana hii ni haki yetu.... munaanzisha sera mnashindwa kuzitekeleza brn wanafunzi wanafauru kwa kuwapeleka amna ....na hii sera ya second selection mnaianzisha mnashindwa kuitekeleza .hii ni aibu kubwa serikal iwez kuendeleea bila kuwekeza kwenye elimu ..itifaki izingatiwe.....
 
Mh jamani mbon awatoi majina ya waliochaguliwa kidato cha tano awamu ya pili 2015 na siku zinazidi songa mbele
 
Wakuu,wiki bado haijaisha ili mradi washasema watatoa wiki hii,basi tuwe na amani kwani wiki haijaisha bado.
 
hahahahahaha mungu ibariki tanzania wabariki viongozi wake hekima umoja na amani izi ni ngao zetu tanzania na watu wakeeeeeeeee.....hahahaha ..mlisema saa 9 now sangapi hii ndo tz bana ila uzuri kila mtu humu kashafikisha miaka 18 ehhh kawambwa ingilia kati shwala hiliiii ....itifaki izingatiwe.....heshima tcra....
 
jaman hi ndo serikali ye2 ileile tokea karne ya 20.... hawana jipya... (Shikamoo tcra..)
 
sasa wakuu vp wale wenye pass ambao comb zimebalance kwa mfano mtu anakuwa na c tatu za PCB je atachaguliwa wakati ana pass
 
sasa wakuu vp wale wenye pass ambao comb zimebalance kwa mfano mtu anakuwa na c tatu za PCB je atachaguliwa wakati ana pass

uwezekano upo coz nafasi zitakuwa nying kutokana na weng waliochaguliwa mwanzo wameenda private mfano feza,st.methew,marian,egles na shule nyingine za private zinazochukua wanafunzi vichwa licha ya hao kuna wengne wame pangiwa UDOM na wengne hawajaenda wanasubiria vyuo mfano afya na kadhalika xo ndo maana walisema ni C3 na kuhendelea ila uwe umebalance comb bila kujali daraja alilopata mtainiwa
 
je kama wanafunz 8,822 wameweza kupangiwa UDOM pekeyake je 9,806 watashindwaje kuwagawanya katika shule zote za serikali nchini? Ila swali ambalo 2napaswa kujiuliza je kati ya hao 9,806 wapo wenye PASS nahsi wapo coz hakuna wa DINSTRICTION,MERIT hata wa CREDIT sio wengi tena coz wameshapunguzwa UDOM
 
uwezekano upo coz nafasi zitakuwa nying kutokana na weng waliochaguliwa mwanzo wameenda private mfano feza,st.methew,marian,egles na shule nyingine za private zinazochukua wanafunzi vichwa licha ya hao kuna wengne wame pangiwa UDOM na wengne hawajaenda wanasubiria vyuo mfano afya na kadhalika xo ndo maana walisema ni C3 na kuhendelea ila uwe umebalance comb bila kujali daraja alilopata mtainiwa

good maelezo mr marandu togethe is one
 
Back
Top Bottom