Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
Intake ya second selection yaweza kuwa november wakuu hilo ni jambo ambalo mnapaswa kulijua coz hata advance wanafunga november na sio october
Advance wanafunga ijumaa ter 11/9
Advance wanafunga ijumaa ter 11/9
jamani wana JF
kutokana mh. kawambwa amesema TAMISEMI watatoa post wiki hii! leo tarehe 10/9 na mimi ninavyojua wafanya kazi wa serikali huwa wanafanya kazi kuanzia j3 hadi ijumaa.Sasa kama hawatatoa leo basi kesho na kama kesho hawatoi basi changa la macho au kama kuna mtu mwenye maoni tofauti! itapendeza kama akiyatoa
wakuu! leo tarehe 10/9 je? TAMISEMI sijui watatoa post zetu au ndo changa la macho
Advance wanafunga ijumaa ter 11/9
iweni wavumilivu
soon......t'll be out
halaf jaman mkiwa mnapost vitu muwe na uhakika navyo mana wengine mnatupa pressure jaman tuoneen huruma 2mechoka kukaa mtaan!! Eee mungu tuangalie sisi waja wako!!