issa maneno
Member
- Aug 19, 2015
- 40
- 0
wana jf hivi huwa post wanatoa asubuh au jioni! msaada wakuu
wana jf hivi huwa post wanatoa asubuh au jioni! msaada wakuu
post wanatoa xa ngap jaman?
Thnx brother!!!unachagulwa..!
Jamani wana jf, mbna second selection haztok tu, au kuna mtu anatetec zzote
Habar wanajf samahan naomba uliza kwamba mie comb yang imebalance ccc ambayo ni CBG na nina gpa ya 1.7 je naweza chaguliwa kweny secnd selection?
wewe utakuwa umechaguliwa special diploma of education UDOM nenda kacheki net jina lako kwenye accnt ya NACTE