Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

ulitaka wachaguliwe hata wasio balance comb?

NOOOH:!! unajua wenyewe ndo walisema yakwamba "wanafunzi zaid ya elfu 9 ndo hawakupata nafasi ya kuchaguliwa 1st selection" so it mean that wanavgezo ila nafasi hazjatosha any way lets waiting for "third selection" coz hii ndo Tz kila k2 kinapewa BICHWA
(#shikamootcra)
 
jamani wakuu naombeni msaada was kubadilsha tahususi kutoka HGL kwenda CBG coz shule nlopangiwa haina sayans
 
msaada jamani Link ya waliochaguliwa st.peter's liuli,iwekeni hapa.
 
sasa zikuwap hizo selection sio tunajadil tu wakati hazionekan nisaidien kwa hilo wakuu
 
wakuu! mimi nimechaguliwa kwa comb PCB kimamba secndary! lakini napata shaka na hii shule kwani inaonekana ilikuwa aina advance level! wana jf msaada wenu kama mtu anaitambua hii shule
 
Back
Top Bottom