Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Samahani Hivi Iyo Nacte inahusiana na Watahiniwa wa sayansi tyu ...
Na Vipi Kuhusu wale wa biashara..??

kila ki2 ila biashara wengi wanapenda ku apply vyuon coz vyuo vya biasha huwa ni private %nyingi ila afya na elimu ni lazma NACTE wakuchungulie
 
daaa until to day amna hata dalili ya second selection hii ni noma still tme is continour to move
 
jamani wakuu! hadi leo hakuna jipya vipi? tetesi zinasemaje wakuu mana tumechoka kukaa mtaani
 
mkuu! tupe source km post zinatoka kesho mana tumechoka kusibiri mana nacte wanazngua huku na tamisemi hawaelewek wanataka tukae kitaani hadi watu watuone kwamba hatujafaulu
 
mkuu marandu! una uhakika gani? mana ata kwny afya nao wanazngua bt wengne 2meomba afy had leo hawasmek 2mekata tamaa 2natka kwenda advnc huk na wanazngua

wataztoa ndan ya wiki inayoanza kesho tarehe 07 coz haitofika mwez wa 10 bila kwenda shule. Mwaka jana walitolewa tarehe 30 mwez wa 8 then shule wakawasili tarehe 9/9 xo nlazma watoe na kwa upande wa afya inajulikana kuwa chuo ni kuanzia tarehe 05/10(private) na 16/10(gment) xo post watatoa kuanzia tarehe 25/09
 
wataztoa ndan ya wiki inayoanza kesho tarehe 07 coz haitofika mwez wa 10 bila kwenda shule. Mwaka jana walitolewa tarehe 30 mwez wa 8 then shule wakawasili tarehe 9/9 xo nlazma watoe na kwa upande wa afya inajulikana kuwa chuo ni kuanzia tarehe 05/10(private) na 16/10(gment) xo post watatoa kuanzia tarehe 25/09

Ouk let's wait for those selections
 
tutazamie leo post maana watakaochaguliwa itabidi waende shule pamoja na form 5 waliofunga shule ikifunguliwa wanaripoti pamoja
 
Habar wanajf kwa taarifa nlizozipata kwenye page ya Dk.shukuru kawambwa amesema kuwa uteuz wa wanafunz wa second selection umekamilika na hvyo kuanzia muda wowote ndani ya wiki hii tamisemi watatoa post hzo.
 
UTEUZI KIDATO CHA 5 AWAMU YA PILI 2015 Niliwajulisha kuwa nimefatilia TAMISEMI kuhusu somo tajwa. TAMISEMI ndiyo Wizara husika kwa zoezi hili. Nimefatilia tena ili kujua tangazo la walioteuliwa litatoka lini. Taarifa nilizopata ni kuwa uteuzi umekamilika na tangazo litatoka wakati wowote kuanzia sasa. TAMISEMI wanategemea kutangaza wiki hii. Kwa wale wasiofahamu niwakumbushe tu kazi hii inafanywa na Wizara ya TAMISEMI - nao wanajitahidi kuikamilisha mapema iwezekanavyo.
#shukuru kawambwa
 
ni wazi kuwa kesho tarajieni post zenu mapemaa..!
 
Back
Top Bottom