petergeorge
Member
- Feb 1, 2017
- 6
- 1
Naitwa mariam James nina umri wa miaka 23 napatikana Dar es salaam natafuta kazi yoyote ya halali nitafanya nina uwezo mzuri wa kuongea kiingereza na kiswahili kwa maelezo zaidi napatikana kwa namba 0715758688