Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

jamani! wakuu wakitoa post tupeane taarifa!!! halafu si walisema kuanzia tarehe 30 had tarh 2/9 je? siku hzo ndo watatoa au inakuaje?
 
wakuu! hivi hizi post ndio zitatolewa katika siku ya leo au kesho au mimi ndio nimeshindwa kuelewa
 
jamani eeh nmeona kweny page ya tamisemi kna link imeandikwa KUJIUNGA KIDATO CHA TANO AGOSTI 2015 lkni haifngukiii
 
jaman wana jf naomba kuulza n kwel tamisem wametoa vigezo kwa wanaotaka kubadl comb mfan kama unataka pcb lazma uwe na bbb cbg uwe na bbc
 
jaman wana jf naomba kuulza n kwel tamisem wametoa vigezo kwa wanaotaka kubadl comb mfan kama unataka pcb lazma uwe na bbb cbg uwe na bbc

uko na kwenyewe wamekuzingua kwani kuama combi...rungwe boy
 
jamani hizo post za awamu ya pili zinatoka Leo au man's walisema tare 2/9anayejua naomba msaada
 
wana jf kama kesho wakitoa tupeane taarifa! mana wengne simu tunazotumia itakuwa ngumu kufungua link ya post
 
Jamani nisaidie sikuwa hewan sku nying, kulingana na mada tajwa hpo juu... Hzo second selection, Tetec znaweza tok kuanzia kesho sasa Wanachukua hadi walio pata PASS?? au wanachukua kuanzia ngapi hadi ngapi? Na yatatumwa kwenye mtandao wa NACTE au NECTA.. Please nisaidieni wapendwa.
 
wanachukua kuanzia credit matokeo yatawekwa www.pmoralg.go.tz
 
Kwa hyo walio pata PASS, na combination zao zko safiii je Watachaguliwa Au?? Msaada please
 
Kwa hyo walio pata PASS, na combination zao zko safiii je Watachaguliwa Au?? Msaada please

kutokana na maelezo yao wanadai kuwa mtainiwa anatakiwa awe amepata C3 na kuendelea bila kujal amepata daraja gani:; hayo maelezo ni ya second selection but first selectio walisema ni daraja la credit na kuendelea ila vpaumbele vinatolewa kwa wanafunzi wa sayance na walemavu(kwa wale wa pass) ila wale wa arts ni daraja la credit na kuendelea
 
Back
Top Bottom