Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

kuna tetesi kuwa baadhi ya waliochaguliwa special diploma udom kuchaguliwa kidato cha tano coz zipo baadhi ya shule zinahitaji wanafunzi wa sayansi na hesabu

kwanza hata UDOM wengi hawatoenda coz wengi wao wanasubiria post za vyuo vya afya na pia wapo wengine wameshapangiwa form 5 lakn hawajaenda me mwenyewe ni mmoja wao..
 
mkuu msaada wako kdogo! mm nna crd ya 2.1 but napnda kwnd cbg au pcb bt phy d chem d bios b eng b civ b kisw c hist c geog d math e na kwny kuomba shule nimejaza cbg na pcb je? naweza kupata hzo comb kutokana na matokeo hayo
 
ndio mkuu huwa wanachukua CCC,CCD na BDD ondoa shaka
 
kwanza hata UDOM wengi hawatoenda coz wengi wao wanasubiria post za vyuo vya afya na pia wapo wengine wameshapangiwa form 5 lakn hawajaenda me mwenyewe ni mmoja wao..

wewe ulipangiwa form 5 na udom pia?
 
mkuu msaada wako kdogo! mm nna crd ya 2.1 but napnda kwnd cbg au pcb bt phy d chem d bios b eng b civ b kisw c hist c geog d math e na kwny kuomba shule nimejaza cbg na pcb je? naweza kupata hzo comb kutokana na matokeo hayo

kinachotakiwa wastani wako usiwe chini ya D kwa comb ila kwa matokeo yako hayo jiandae kwa hkl maana ndo umefaulu vizuri zaidi
 
mkuu msaada wako kdogo! mm nna crd ya 2.1 but napnda kwnd cbg au pcb bt phy d chem d bios b eng b civ b kisw c hist c geog d math e na kwny kuomba shule nimejaza cbg na pcb je? naweza kupata hzo comb kutokana na matokeo hayo

dah! kumbe tupo wengi tunaosubiri 2nd selection hata mimi nilijaza pcb,cbg xema nlivyoanguka tu phys basi nkakata tamaa sijui labda nichaguliwe cbg,egm
 
dah! mkuu kwl kwa matokeo yangu ntachagulwa hkl bt m napnda cbg au pcb n hv join instruction watatumia katka posta au inakuaje? msaada wakuu
 
join instruction zinawekwa mtandaoni na posta pia huwa zinatumwa ila ukijua tu tarehe unaweza kwenda na vitu tu vya muhmu af mengne yakafuata
 
je, hivi tuliotuma maombi ya kusoma diploma ya education UDOM tutachaguliwakweli maana hao form 4 waliochaguliwa ni wengi mnoo!!
 
Back
Top Bottom