Nimefuatilia Uzi umekaa poa sana.
Msaada: me natumia Android phone, nitumie website gani kupata movie safi kama hizo.
Pia kama kuna App inayoweza kunipa utamu huo please, naomba msaada wenu wakuu.
#Chief Mkwawa naomba msaada wako.
We na waandishi wa habari uliowasikia wakisema hivo, mmekurupuka na sioni sababu ya kumshutumu ZITTO kabla ya ya kumhoji kuhusu matamko/kauli zake.
Wakati mwingine ukute anajiamini na kauli zake, oia ukute ana vielelezo kama ushahidi wake.
#SUBIRA YAVUTA KHERI
Yoyote anaeweza kuniongoza kupata kazi ya ualimu shule za secondary.
Elimu yangu ni stashahada(kiswahili na historia+ICT) GPA 3.1
mawasiliano 0755846760
Wakulima Tanzania ni 70%, hivyo basi kikwete anaposema hakufanikiwa kwenye idara hii ya watanzania walio wengi ni sawa na kusema hajatatua tatizo la Umasikini ndani ya watanzania.
Ikumbukwe hata Mkapa alishindwa kuendeleza idara hii ipasavyo.
Hongera sana mh. D. KAFULILA
Uzushi mtupu....... Ninachojua mm kesi imesogezwa mbele. Alie tuhabarisha atujuze jaji aliesoma kesi hiyo maana jaji Alie pangiwa kesi kahamishwa kwa maana hiyo kesi itasomwa mpaka pale atakapo teuliwa jaji msimamizi wa kesi hiyo. Awali alikua Jaji Lutamwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.