ICOGNITO-INC
Senior Member
- Mar 28, 2013
- 133
- 87
Mimi nina wasiwasi sana kuwa IPTL huwa ni mradi wa CCM ambao hutumika kupata fedha wakati wa uchaguzi. Haiwezekani Rais aliyetuaminisha kuwa yeye ni mtumbua majipu, mbona hili suala la IPTL anapotezea au ni kwa sababu anafahamu kuwa hela iliyokwapuliwa 2014 ilitumika kufanikisha juhudi za yeye kuingia madarakani hivyo hawezi kuchukua hatua yeyote na ndiyo maana mpaka leo amekaa kimya.
Wapinzani hili lifanyieni kazi, lazima IPTL na investment nyingine zilizobinafsishwa kama vile Mtibwa Sugar na Kagera Sugar itakuwa ni miradi ya CCM inayotumika kuhakikisha CCM inaendelea kuwepo madarakani.