Sijaona mmasai mlemavu wa kuzaliwa iwe ulemavu wa viungo au wa ngozi

Wakuu hivi hii jamii ya wenzetu Ni kwamba imebalikiwa? Au?

Je! Wewe ulishawahi kukutana na Masai mwenye ulemavu!!???
Nilishawahi kukutana na Mmasai aliye na ulemavu,ila hata mimi nilishangaa sana kwani ilikuwa ni mara yangu ya kwanza,na sijawahi kuona mwingine tena mpaka leo yapata miaka takribani sita iliopita.Hawa jamaa nilichokigundua wanaishi maisha natural sana,ila sasa hivi tamaa zao za kujiingiza kwenye maisha ya kisasa ya kunywa vi soda,vi bia,vi maji freshi pamoja na vi biscuti itawagharimu,kwani hivi vitu ukienda kwenye jamii wanazoishi vinapatikana kwa wingi sana.Nikuulize swali la kizushi,hivi unajua kuwa mwanamke wa kimasai hana nyewele sehemu yoyote ya mwili wake,kuanzia kichwani,nyusi,kope,makwapani,mpaka sehemu nyingine yoyote unayoijua wewe?
 
Kwani yule alisaidiwa bajaji na JPM na akaonyesha TBC taifa, "hakua MMASAI"?

Ni mlemavu aliekua anatumia baiskeli ya magurudumu mawili.
 
Duh! Ni kweli mkuu sikumbuki kuona hata Mwanamke wa kimasai akiwa na Nyusi! Kwa hiyo mkuu hata Papuchi zao hazina zile nywele zinazoizunguka!??
 
Kwani yule alisaidiwa bajaji na JPM na akaonyesha TBC taifa, "hakua MMASAI"?

Ni mlemavu aliekua anatumia baiskeli ya magurudumu mawili.
Upo sahihi mkuu! Hata Mimi nakumbuka baada ya kukumbushwa hapa!
 
QUOTE="Powder, post: 18970063, member: 347655"]Duh! Sijawahi hata kusikia! Au wanaenda kufia kwao!?[/QUOTE]
Nimejiuliza sana hilo swali kwa muda mrefu.
 
Wamasai hivyo vitu uwona ni laana....so Jibu ushapata nini hufanyika
 
Back
Top Bottom