Recent content by Deo Corleone

  1. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Kwanini sadaka Misikitini inaonekana ndogo kuliko makanisa?

    Hi\o ehemu zote mbili ulienda kufanya nini?
  2. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

    kuwa dalali
  3. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania East coast na East zoo kundi gani ilikuwa kali?

    miaka 12 iliyopita. East Zoo kabaki Noorah na Dark master. miaka 30 ya Bongoflava imedhihirisha ECT was the Best
  4. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Mkao wa mautamu!!

    Hapa , dira ya 2050 tutaifikia kweli?
  5. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    SEKUNDE KUMI ZINATOSHA SANA
  6. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    angeenda uchi au angepiga na boxer tu!!!
  7. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    kama angevaa wanavyotaka,angepunguzwa? mimi nilivaa kadeti zile ngumu yenye mifuko nyuma nikaambiwa hazitakiwi nikaenda nikanunua suruali ya 5000 nikabadilisha nikaenda kufanya pepa.
  8. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    kwani kati ya jeans na suruali oficial ipi ni gharam kubwa? angeenda uchi kisa hana nguo ningeukuelewa, mtu kapiga jeans ,Tshirt na Raba ambazo ni bei kubwa kuliko suruali na shati halafu unatetea. hoja yake anasema hawakutoa taarifa wakati wanatoa kila siku hizo taarifa
  9. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    nina imani unatania. kuna suruali na mashati hadi ya 5000. na hizo taarifa mbona zinatolewa huko instagram,facebook,whatsap cahneel kila kukicha? usitetee ujinga Chief
  10. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Hizi taarifa zipo na zinatolewa kla siku kwenye media zao ,lakini wewe uko bize na TIKTOK na kubishana mambo ya simba na yanga. halafu uanendaje kufanya usaili na hayo mavazi?
  11. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

    UNAJIKUNJA KAMA CHATU
  12. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC

    huyo ni mchezaji wa kiwango cha hapa Tanzania tu na labda hapa nchi za Afrika mashariki
  13. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Wakunyumba tradition’s party ya wangoni yaja bongo

    Mngoni Komaa Songea Mbaliii!!
  14. Deo Corleone

    JamiiForums Tanzania Heal, So Your Lineage Does Not Need To Heal From Having You as a Parent.

    Hivi kuna mtu alikuwa anaitwa OLESAIDIMU. yupo wapi huyo jamaa?
Back
Top Bottom