captai
JF-Expert Member
- Mar 29, 2026
- 524
- 1,005
Nipunguze wakati na mifugo nakuachiaNaomba kwa 200k. Hio 70k itoe kwa sababu ya usumbufu wa kunguni nitakao upata.
Najua hakikosi kunguni.
Nipunguze wakati na mifugo nakuachiaNaomba kwa 200k. Hio 70k itoe kwa sababu ya usumbufu wa kunguni nitakao upata.
Najua hakikosi kunguni.
UNAJIKUNJA KAMA CHATUNje ya mada, hivi mtu akiwa na urefu kuzidi hiyo futi 6 inakuaje? Sijawahi kuona kitanda cha 5×7