vijana watafanya nini wakati serikali awna police nzuri za kuwawezesha?wengi wa watanzania ni maskini,elimu ni duni,ajira hakuna,umeme ndo huo mgao,miundo mbinu ni mibovu kiasi ambacho mtu akilima,mazao yanaozea mashambani,inflation ni kubwa. wanasema kilimo kwanza wakati viongozi wanakula...