Ronaldo: Barca inabebwa

Hehehehe...haya bana..

Ukiangalia sana wanaochonga sana Real Madrid ni wareno Maurinho na C Ronaldo. Wanachonga sana hawa....Ingekuwa soka ni kuchonga, Ureno ingetawala soka la Dunia.

hawachongi mkuu....
the fact ni kwamba haki haitendeki kabisa wakati wa EL CLASSICO...!haki ikifuatwa real madrid lazima ashinde

hata ile mechi ya bernabeu mpango wa ''the special one'' ulikuwa ni kumuingiza kaka dakika ya 70 akafunge goli la counter-attack (he was born to do that)....!lakini kama ulivyoona dakika za 60 marefa wakaamuliwa kumuondoa PEPE...!na ukiangalia sana PEPE ndie beki pekee aliyemsimamisha messi...!na alivyotolewa kwa amri ya U.E.F.A uliona kilichojiri

HAKI HAIKUTENDEKA MKUU

maurinho na cristiano wana point
 
Tuweke ushabiki pembeni,Arsene W ameongea,Alex F amesema,Dozye M kapiga kelele,Barcelona wanaujua mpira ila pia kuna baadhi ya timu pinzani ufanyiwa zengwe ama kwa makusudi ama kwa kutokujua kwa marefarii, na Barc wanajua sana kuutumia udhaifu wa marefarii ...this is quiet sure and serious!
 
hawachongi mkuu....
the fact ni kwamba haki haitendeki kabisa wakati wa EL CLASSICO...!haki ikifuatwa real madrid lazima ashinde

hata ile mechi ya bernabeu mpango wa ''the special one'' ulikuwa ni kumuingiza kaka dakika ya 70 akafunge goli la counter-attack (he was born to do that)....!lakini kama ulivyoona dakika za 60 marefa wakaamuliwa kumuondoa PEPE...!na ukiangalia sana PEPE ndie beki pekee aliyemsimamisha messi...!na alivyotolewa kwa amri ya U.E.F.A uliona kilichojiri

HAKI HAIKUTENDEKA MKUU

maurinho na cristiano wana point

Kwa hiyo marefa walijua Kaka ataingia dakika ya 70? Nyimbo za Maurinho mtaziitikia chorus zake sana.

Sasa Kama PEPE amecheza rafu dakika ya 60 alitakiwa asiadhibiwe kwa kuwa Kaka ataingia dakika ya 70 akafunge bao?...Yaani watu wacheze rafu wasiadhibiwe? Mi si shabiki wa Barca lakini, lazima tuseme ukweli, Wametawala soka la dunia na wachongaji juu yao wameongezeka hasa baada ya Maurinho kutua Madrid.
 
bana n'kuba kama uliicheki ile game vyema utagundua tu kwamba zile faulo zilizotolewa kwa wachezaji wa madrid ni za kupikwa....!ukiangalia sana utanote namna wakatalunya walivyomshika refa masikio wakawa wanajiangusha angusha tu....!utaona wazi kwamba madrid pekee walikuwa na yellow tano kwenye ile game ya kwanza..na waliitumia loophole hio hio kumzawadia yellow ya pili pepe kwakuwa walijua wazi kwamba ''the special-one'' anaelekea kuubadilisha mchezo dakika 20 za mwisho...(hio ni formula yeke mkuu)

labda ujiulize tu:
-kwanin barsa hakushinda second leg ambayo ilichezwa camp-nou?(na alichezesha kikosi kile kile...wakati huo huo madrid walikuwa bila pepe,adebayor na higuan)?

mkuu jaribu kufuatilia comments za football men wakina wenger,harry redknapp na wengine wengi kuhusu UDHAIFU MKUBWA UNAOONYESHWA NA WAAMUZI wakati wa mechi za EL CLASSICO
 
mkuu asprin kama unakumbuka vyema...hawa barsa hawa walishakutana na chelsea ya ''the special-one'' miaka fulani hivi....!MATUKIO YALIYOTOKEA BERNABEU NI YALE YALE YALIYOTOKEA DARAJANI....!chelsea alipiga magoli ya haraka haraka....baadae mchezaji wa chelsea akapigwa red ya kusingiziwa mpira ukabalance....!barsa wakasawazisha pale wakina iniesta nakumbuka....!wakapita

maurinho anaijua sana barsa na fitina zake....!na mimi ninaamini ni kocha pekee anaeimudu barsa ndo maana alichukua COUPA DE RALEEI
 
bana n'kuba kama uliicheki ile game vyema utagundua tu kwamba zile faulo zilizotolewa kwa wachezaji wa madrid ni za kupikwa....!ukiangalia sana utanote namna wakatalunya walivyomshika refa masikio wakawa wanajiangusha angusha tu....!utaona wazi kwamba madrid pekee walikuwa na yellow tano kwenye ile game ya kwanza..na waliitumia loophole hio hio kumzawadia yellow ya pili pepe kwakuwa walijua wazi kwamba ''the special-one'' anaelekea kuubadilisha mchezo dakika 20 za mwisho...(hio ni formula yeke mkuu)

labda ujiulize tu:
-kwanin barsa hakushinda second leg ambayo ilichezwa camp-nou?(na alichezesha kikosi kile kile...wakati huo huo madrid walikuwa bila pepe,adebayor na higuan)?

mkuu jaribu kufuatilia comments za football men wakina wenger,harry redknapp na wengine wengi kuhusu UDHAIFU MKUBWA UNAOONYESHWA NA WAAMUZI wakati wa mechi za EL CLASSICO

Wenger si ndio wale wale?....

Soka bana, chama linapokuwa na vifaa vikali watu wanaposhindwa kustahilimi mkikimkiki, solution inayobakia ni kucheza rafu. Na ndicho walichokifanya Real. rafu za kijinga.

Kutoshinda Nou Canp ni sehemu ya soka, kama ambavyo Real walivyoshinda kombe mbuzi la mfalme. Na kama ni kubebwa pale ndipo Barca ilikuwa ibebwe zaidi. Kwakuwa Barca hawakushinda hakuna aliyechonga. Angeshinda ungesikia ya kusikia.

Ukweli ni kuwa Barca ni Timu bora zaidi duniani kwa sasa. Na Timu bora ndiyo huwa inashinda. (kama ambavyo Liverpool inashinda hivi sasa....Timu bora kabisa).
 
Kama sio busara za refa mechi ya juzi real wangepigwa nyekundu. Wakina vidic wajiandae watakapo taka kumkaba Messi
 
Wenger si ndio wale wale?....

Soka bana, chama linapokuwa na vifaa vikali watu wanaposhindwa kustahilimi mkikimkiki, solution inayobakia ni kucheza rafu. Na ndicho walichokifanya Real. rafu za kijinga.

Kutoshinda Nou Canp ni sehemu ya soka, kama ambavyo Real walivyoshinda kombe mbuzi la mfalme. Na kama ni kubebwa pale ndipo Barca ilikuwa ibebwe zaidi. Kwakuwa Barca hawakushinda hakuna aliyechonga. Angeshinda ungesikia ya kusikia.

Ukweli ni kuwa Barca ni Timu bora zaidi duniani kwa sasa. Na Timu bora ndiyo huwa inashinda. (kama ambavyo Liverpool inashinda hivi sasa....Timu bora kabisa).

barsa ni timu bora sawa....!lakini icheze mpira wake basi...kwa nin ibebwe bewe?

kama ni kombe la mbuzi (again la mfalme)...kwa nin ulidhani barsa ilikuwa ibebwe zaidi?ha ha ha....

barsa haina uwezo wa kukifunga kikosi cha maurinho CHENYE WACHEZAJI 11....!records ziko hivo mkuu...!

ulimwengu wa soka haujathibitisha kuwa barsa ni timu bora kabisa kuwahi kutokea chini ya jua...!hilo liko wazi hata guardiola anajua...!talking of ''the special one'' dunia ilithibitisha kwamba ni kocha bora kabisa aliyeleta mapinduzi ndani ya soka...!

barsa wanajua wanachokifanya
barsa wanaujua wazi uhusiano wao na uongozi wa UEFA unawapa ubingwa
barsa wanajua wazi mahusiano yao na UNICEF yanaipa ubingwa wa mezani
 
Yaani Man U ikifungwa Wimbley hiyo tarehe 28, naona mtaendeleza huu mjadala kua Barca kabebwa. Ila mkishinda nyie sawa tu itakua Fair play. Tuache utani wale watoto wanavyocheza bila kuwachezea rafu huwezi kuwakaba hata kidogo. Kumkaba Messi bila kumkwatua ujue itakua imekula kwako.!
 
Barcelo wanabebwa! Mhh!
Nani kasema?
Kwanini kasema hivyo?
Unafikiri ataacha kusema?
Akiacha kuisema Barca nini kitatokea nafsini mwake na kujidhihirisha nje?
Christiano aliposajiriwa Real M, alisema ataifunga Barca magoli mangapi vile?
Jose alisema nini dhidi ya Barca mara alipofika RM, na nini kimetokea hadi sasa?
 
Raisi wa FIFA anasema club bora ni Bercelona unatgemea refari na yeye atalalia upande gani.but all in all Mun U lazima amugamize
 
LONDON, England
WINGA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema Barcelona ni klabu kubwa duniani lakini inaongoza kwa kubebwa.

Ronaldo anaungana na kocha wake, Jose Mourinho kuilaumu timu hiyo baada ya kutolewa kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa marudiano kwenye Uwanja wa Camp Nou juzi.

Barca ilishinda mabao 2-0 mchezo wa kwanza kwenye Uwanja wa Bernabeu huku beki wake, Pepe na kocha Mourinho wakipokea kadi nyekundu.

Madrid ilifunga bao kupitia kwa Gonzalo Higuain lakini lilikataliwa na Ronaldo alisisitiza kusema Barcelona si timu ya kutisha na kucheza katika kiwango chake.

"Hii ni mipango," Ronaldo aliwaambia waandishi wa habari baada ya mechi.

"Tulijua mambo haya yatatokea. Tumekuwa tukiishi na vitu hivi. wamepora haki yetu kucheza fainali kwenye Uwanja wa Bernabeu. Hata hapa, mambo ni yale yale.

"Kuna vitu vingi. Vilivyotokea Bernabeu, vilivyotokea hapa, Ni vitu vya kutafakari. Barcelona ni klabu kubwa, lakini kuna vitu nyuma yake. Ni ngumu kucheza mkiwa 10 baada ya kadi nyekundu na Barcelona, leo hii unakataliwa bao."

Mfa maji haishi kutapa tapa. Watatapatapa kwenye vyombo vya habari wenzao Barca wanaweka soka chini ndani ya uwanja. Kila mwenye macho na uwelewa wa soka anaona kabisa Barca ni heavy weight kwa Real Madrid. Cha msingi Morinho ni kujipanga tu kwa ajili ya mwakani. Peter Clouch alivyotolewa dk ya 16 Bernabeu mbona hamkuonekana kwenye vyombo vya habari mkisema Madrid anaonewa ? Football its not all about kicking the ball, but discipline also matters.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom