kima cha chini 315,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kima cha chini 315,000/=

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kagamba kadogo, May 5, 2011.

 1. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tucta walipendekeza mshahara unaokidhi maisha, je hiyo inatosha?
   
 2. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nasikia wataongeza asilimia tatu ya gross
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hata kiduchu. Gharama za maisha ni mara 4-5 na inazidi kupanda kila siku.
  Na hakuna pesa inayotosha kwa binadamu yeyote yule.

  Muhimu ni kuangalia gharama za bidhaa na si kuendelea kushusha thamani ya shilingi.
   
 4. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haitoshi kabisa, hebu igawanye kwa 4 alafu utajua kuwa kila mwanafamilia anatumia kiasi gani kwa mwezi na hiyo ni familia ya baba mama na watoto wawili tu!
   
 5. d

  den88 Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  adding the the salary to employees,for me is not the solution.they should control inflation and price of the goods.
   
 6. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Akihojiwa na TBC katibu mkuu CWT alisema upo mchakato wa kuainisha gharama mpya za maisha kwa sasa. Sema tu wamechelewa. Hata nyongeza yenyewe haitakaribia kima cha zamani.
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Wanachofanya hapa ni siasa zaidi siyo Professional people at work. Huwezi kuongeza mshahara wakati inflation inapanda kila sekunde 30. Ni changa la macho, kinachofanyika hapa ni wizi tu hakuna kingine.
   
 8. k

  kagamba kadogo Senior Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yeah but wataalamu wamekaa na kusuggest hicho. Lakini kodi yenyewe iko wapi ya kupata hiyo nyongeza ya misharara. The economy is collapsing
   
Loading...