Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 878
Pole sana , halafu mshukuru Mungu kuwa binti amekuambia, ni wajibu wenu wazazi kuongea na binti yenu, unavyojua watoto wanakua haraka, wanashinda na mahousegirls, mtoko wao ni dukani na housegirls mara nyingi wazazi busy kutafuta hela, hivyo mshukuru Mungu kuwa umefahamu,
Naomba baada ya kumpa elimu binti yenu, huyo fataki umwambie kisha umtembezee noma mtaa mzima kwa kuwajulisha watu litabia lake libovu asiendelee kutafuna vibinti vya watu...zee zima! Anakuwa kama yule 'Ali Maumba' sina hakika na jina aliyekuwa anaharibu vivulana vidogo...usimvumilie!!!lazima ahame mtaa kwa aibu!
Mwisho natoa rai wazazi tujaribu kuwa close na wanetu, mimi mabinti zangu nimewaelekeza sana kuwa usikubali kuvua chupi, kushikwa hapa etc...lakini pia kikubwa ni kuwaombea maana TV na fb na utandawazi unawakuza wanetu