Zitto: Serikali ya JK katika hali mbaya kifedha; Mkulo Akanusha!

Hivi Malaria Sugu yupo wapi pamoja na wenzake waje wajibu hii hoja!!!?
hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa urais
 
Muwe wavumilivu na baadae mtazoea na kuona hali ya kawaida. Enzi zetu tungeanzisha operesheni kamata na filisi mafisadi mara moja kwani hela zimeshikiliwa na watu kiduchu na haziko kwenye mzunguko sahihi. MIAKA MINNE ILOBAKI ITAKUWA BURUDANI TOSHA NA SIKU NYINGINE NDO AKILI ITAKUWA INAFANYA KAZI NA KUCHAGUA WATU MAKINI. Nasikitika sana. Ni hulka yetu tulio wengi hapa nchini kutokujali bajeti hata katika family level. Viongozi wetu wengi wanapenda safari sana. ziwe za nje au za ndani. sijaona KIBAKI , KAGAME , MUSEVEN NA WENGINE WENGI WAKISAFIRI KWA JINSI SISI TUFANYAVYO. KUNA WAWAKILISHI WENGI NJE YA NCHI NA PIA HATA NDANI YA NCHI NA TEKNOLOJIA INARUHUSU KUWASILIANA KIRAHISI LAKINI HAPA KWETU HATUITUMII HATA. NI LAZIMA WATU WAPAE AU WAENDESHE KWENDA FUNGUA MABOMBA AMBAYO KWANZA HAYATOI MAJI NA ANGALAU RAS AU DED NA WENGINEO WAPO. MPAKA TUKIJIFUNZA SAVING ANZIA KWENYE NGAZI YA MTU BINAFSI NA HATA SERIKALINI NDIPO TUTAKAPOFANIKIWA. POLENI WANDUGU. MAY BE MTAJISAHIHISHA 2015.
 
It all comes down to energy(electricity,oil..),nchi haina umeme na oil bei ni balaa,no production or any servces in our economy kwa sababu umeme hakuna,sasa unategemea hiyo kodi itoke wapi huku hakuna chochote kinachoendelea,JK na serikali yake wanajidanganya tuu maana bila kushughulikia tatizo la umeme nchi imekwisha,kila kitu kiancholipa kodi kuanzia viwanda,mahotel,migodi,usafirishaji,housing etc kinategemea energy(electricity,oil)...solve tatizo la umeme kwanza ili watu waanze uzalishaji na kazi nyingine za kimaendeleo then kusanya kodi yako,bila umeme tumekwisha!
 
nasubiria kuona uwo moto utaowaka, kwenye bunge lijalo cz lazima serikali ya ccm,watakuja na agenda ya kuongeza kodi,kuficha hii aibu. patakuwa hapatoshi
 
acheni kumwonea jemedari wetu mheshimiwa kikwete matatizo yaliyopo aliyakuta na atamaliza muda wake nyie endeleeni kupiga domo tu
Kwa hiyo atamaliza muda bila kutatua haya matatizo kisa ameyakuta?
 
hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa urais

Hujajibi bado hoja, je ni kweli serikali ya JK haina pesa ya kulipa mishahara watumishi wake mpaka inakopa kwenye mabenki? Atujauliza serikali ya Mwinyi, Nyerere wala Mkapa..
 
Mkuu hata wakigoma, issue ni kwamba hazina hakuna hela... wametumia zote na kodi hatukusanyi inavotakiwa... nafikiri wazo la kuwatoa hawa jamaa kabla hatujafa kwa njaa lifikiriwe kwa umakini sana!!
Hili jambo ilipaswa tyulifanye mwaka jana...
 
Mnaonaje tukimsamehe makosa yake mzee BWM na tumchukue aje CDM kisha 2015 tukichukua nji hii tumpe uwaziri mkuu atusaidie kurekebisha hali? hii ni kwa kujua kwamba mitandao yote mibaya ama mizuri anaifahamu vyema. ila itaambatana na kurudisha vijisenti vyetu ambavyo familia yake ilichota sana. yeye najua hakuchota ila jina lake lilitumiwa ovyo na wana familia wake, kwa maoni yangu.
 
hii hoja haina mantiki yoyote kwa maana hii nchi imekwishatawaliwa na marais wanne na kili mmoja wao hakuna hata mmoja aliyeweza kuondoa kero za watanzania wote Kwa hiyo mnachosema kuhusu jk ni kama mnamuonea tu na hasa baada ya huyu rusputini wenu kukosa urais

Hapa hatuongelei nani kafanya nini na tunajua vizuri maendeleo ni mchakato kila anaeingia kuongoza analeta hali nzuri zaidi lakini kwa huyu mkubwa imekuwa ni tofauti, badala ya kwenda mbele sasa tumeanza kurudi nyuma... tulikuwa tumefikia kulipa wafanyakazi wa serikali tar.25 lakini hebu uliza mishahara ya machi imeingia lini?? Na chanzo ni kuwa serikali haina hela though wanaficha... Sasa hapo anachozingiziwa ni nini!! Pinga hoja kama mtu mzima, uone aibu kutetea uozo tunahitaji maendeleo sio u-brazameni... sasa ashakomba hazina yote hata hela za kusafiria hakuna!!!
 
Hujajibi bado hoja, je ni kweli serikali ya JK haina pesa ya kulipa mishahara watumishi wake mpaka inakopa kwenye mabenki? Atujauliza serikali ya Mwinyi, Nyerere wala Mkapa..

Haya mavilaza waliopandikzwa humu JF na akina Mukama na Nape hayajui kujibu hoja. Kwa ujumaa naona posti zao zote wanazojaribu kujibu hoja mbali mbali ni magumashi tu. Utadhani hawakwenda shule, ingawa naamini baadhi yao wana madigirii.
 
Walishaandika barua mara mbili za kuomba pesa toka kwa nchi wafadhili ili kuweza kuendesha Serikali kati ya January - June 2011, inaelekea Wafadhili wamewatolea nje. Walikomba pesa zote hazina kwenda kufanyia kampeni za 2010.
 
Kwamba Tanzania haina hela si taarifa ya habari mpya.

Natafuta CHADEMA wanapokosoa na kuchambua sababu au incompetency au ufisadi fulani fulani unaosababisha huo ukata, sioni. Hilo lingeleta vina katika kosoa yao.

Na kibinadamu, ni aibu na ufidhuli kwa mtu yeyote mwenye nia njema, hususan mwakilishi wa wengine, kukosoa upatikanaji wa kitu wakati yeye tu anapokosa, kwa sababu utawala wa Kikwete utakachofanya sasa ni kuweka kipaumbele cha kwanza kwenye malipo ya Wabunge, halafu hutasikia ngebe kutoka kwa Zitto, na hutajua kwamba kuna wafanyakazi hawalipwi.
 
Tatizo la Tanzania ni tatizo kubwa mno, kwa muono wangu. Tatizo linakuja kwamba nchi yetu ni tegemezi mno na wanaotegemewa sahizi wako ktk crisis moja balaa sasa hapo balaa ndipo lilipo.

Tatizo tumekuwa wategemezi hata kwa vitu ambavyo viko ndani ya uwezo wetu kabisa. Wananchi asilimia 60 ya watanzania hawahitaji
1.Pentrol ili kufurahia maisha
2.Hawahitaji Magari ili kufurahia maisha
3.Hawahitaji umeme ili kufurahia maisha
.........

Wanacho hitaji ni mlo tu wa uhakika asubuhi , mchana na usiku. Kinachoshangaza haya mambo ya msingi bado hayawezekani kwa mtanzania japokuwa
1.tuna ardhi ya kutosha
2.Tanzania imezungukwa na maji

Hivi angalia ramani ya tanzania ni lazima kuwepo na mvua?

Maoni
Serikali badala ya kuimba kilimo kwanza, ingetenga hekta kadhaa ambazo ziko karibu na maji serikali yenyewe ikajipa malengo na kuzalisha mazao mahindi, mpunga , maharage nk kwa umwagiliaji na mavuno yatakuwa mara 3-4 kwa mwaka. Serikali kuna haja ya kuwekeza miundo mbinu ya umwagiliaji.

Na tena serikali inaweza tajirika kwa kuuzia chakula nchi zinazokubwa na njaa zilizotuzunguka. Ktk viwanda na utandawazi mwingine ama biashara ya kawaida huko hatuwezi kushindana na badala yake serikali itumie ardhi na maji tuliyonayo na soko lilotuzunguka nchi nying zina njaa.

Kwa kweli siwaelewi hawa jamaa mipango yao, soko la chakula lipo wazi kabisa na uwezo tunao wa kufanya hivyo tena kwa mtaji ambao umo ndani ya uwezo, utashangaa wanakurupuka sijui flyover barabara for what?

Mkuu mawazo yako mazuri but nani anajali washakuambia wanaishi kimjinimjini unategemea nini? Hizo project za flyovers ni Twin tower nyengine kutengeneza mianya ya ufisadi. Kilimo badala ya kuwasaidia wakulima wanapeana tenda wao kwa wao kuleta matrekta mabovu ya powertillers ambayo kabla ya kuanza kutumika yashakufa. Kilimo kwanza mikopo wamechukua watu wasiojulikana ambao si wakulima hata hivyo wakulima wenyewe wameachwa wakifa na njaa tu. Ndio maana sasa ukiangalia wakulima kama Mbeya wameamua kuuza mazao yao Zambia na Malawi kwani wanafaidika zaidi na nchi kwao.

Rais wetu anasema maendeleo ni kuwa na magari amesahau kuwa wakati wenzetu Kenya wameleta viwanda vya kuassemble magari ili kutoa kazi kwa watu wao sisi tunajivunia magari mengi yaliyozagaa nchi ambayo ni second hand. Rais wetu anatakiwa asimame kidete kuondoa tatizo la umeme amasivyo uchumi wa nchi utaporomoka vibaya sana. Vile vile ampumzishe waziri wa fedha kwani hana ufanisi wa kuanisha vyanzo vipya vya hela zaidi ya kutoa majibu ya kisiasa na kuendelea kula bata yeye na watu wake wa karibu. Asipofanya hilo makusanyo ya kodi yataporomoka kila siku. TRA inahitaji kubadilishwa uongozi mzima wa juu kuzuia mianya ya uepukaji kodi na rushwa.

Vile vile JK apunguze gharama za kuendesha serikali yake ambazo zimekuwa mzigo kwa Serikali na pia Bunge lipunguzwe ukubwa kuanzia wafutilie mbali ubunge wa viti maalum ni mzigo mkubwa kwa taifa. Pia marupurupu yapungue kusave pesa kwa ajili ya kuipunguzia mzigo serikali.

Venginevyo nchi hii inauzwa tu mabenki hayo serikali inapokopa interest rate Tanzania iko kati ya 17%- 26% . Fikiria serikali ikikopa Bilioni 500 tukisema Tbills rate sasa iko 9-10% kama sijakosea inamaanisha interest rate ya Billioni 500 ni Billioni 50 - 40 kwa mwaka na inaenda ikikua. Tuombe mungu wasiwe wamechukua overdraft facility ndio kiama kabisa maana deni linakuwa kwa siku. Mwisho nchi itashindwa kulipa deni tutaanza kuuza rasilimali za nchi. Mungu ibariki Tanzania!!!
 
It all comes down to energy(electricity,oil..),nchi haina umeme na oil bei ni balaa,no production or any servces in our economy kwa sababu umeme hakuna,sasa unategemea hiyo kodi itoke wapi huku hakuna chochote kinachoendelea,JK na serikali yake wanajidanganya tuu maana bila kushughulikia tatizo la umeme nchi imekwisha,kila kitu kiancholipa kodi kuanzia viwanda,mahotel,migodi,usafirishaji,housing etc kinategemea energy(electricity,oil)...solve tatizo la umeme kwanza ili watu waanze uzalishaji na kazi nyingine za kimaendeleo then kusanya kodi yako,bila umeme tumekwisha!
Tatizo kubwa ni kuwa Mkulu hajui umasikini wetu unatokana na nini
 
To every problem there's a solution. Tanzania's economic crisis is a challenge to all Tanzanians, constructively we can all come up with some proposals to lift up our economy!
 
It all comes down to energy(electricity,oil..),nchi haina umeme na oil bei ni balaa,no production or any servces in our economy kwa sababu umeme hakuna,sasa unategemea hiyo kodi itoke wapi huku hakuna chochote kinachoendelea,JK na serikali yake wanajidanganya tuu maana bila kushughulikia tatizo la umeme nchi imekwisha,kila kitu kiancholipa kodi kuanzia viwanda,mahotel,migodi,usafirishaji,housing etc kinategemea energy(electricity,oil)...solve tatizo la umeme kwanza ili watu waanze uzalishaji na kazi nyingine za kimaendeleo then kusanya kodi yako,bila umeme tumekwisha!

Hilo ni tatizo moja jengine ni ukubwa wa matumizi ya serikali kuliko mapato. Kukosa vipaumbele vya nchi kwa ajili ya maendeleo na Ufisadi. Atakapoyaondoa matatizo haya nchi watu watakunywa maziwa bure na kusoma bure. Venginevyo, tumekwisha.
 
To every problem there's a solution. Tanzania's economic crisis is a challenge to all Tanzanians, constructively we can all come up with some proposals to lift up our economy!

Problem is, when you come with alternative solution which is not similar to theirs', you are a Muhaini and unataka KUVURUGA AMANI NA UTULIVU WA NCHI HII..
 
Walisema Mkapa fisadi, naomba tuitishe uchaguzi halafu wagombea wame Mkapa na Kikwete tuone nani atashinda, kwangu mimi Mkapa was the best president kwani alijua ni nini cha kufanya ili nchi iende na Mtu aliyekuwa anaweza kuvaa viatu vyake ni Magufuli
 
hali halisi inaonyesha kwamba uchumi wa tanzania unaangukia mikononi mwa mchumi.
kusoma uchumi siyo kigezo cha kuitwa mchumi.

Mishahara hailipiki,
atalipaje wakati anategemea misaada, na watoa misaada walishatonywa kuwa alichakachua?

kodi inadorora,
mgawo wa umeme kila leo unategemea wenye viwanda watapata wapi bidhaa za kuuza hata waweze kulipa hiyo corporate tax?

waalimu hawana future,
hao wanajitakia wenyewe. acha maisha yawacharaze. ndiyo wanatumika sana kuweka serikali feki madarakani kwa ujira wa 30 000 kipindi cha uchaguzi. tena hao natamani wawe omba-omba tu.

askari rushwa mtindo mmoja
makamanda sina noma nao. kila mtu na ale kwa urefu wa kamba yake. serikali badala ya kupanua barabara kama mandela road yenyewe imejenga bonge la mtaro ambalo ni useless. sasa mtu akatanua hapo kwa nini askari wasimgeuze dili?

Hahaha hilo suala la mandele limenichekesha saana na pia kunisikitisha! Hta me nashangaa,ile barabara imesha elemewa na pia f u look with a 3rd eye ile ndo barabara inayotoka bandarini hv kweli kuijenge tena kwa njia 4 kuna manufaa yoyote?me nazan wangejenga kwa njia 8 ile access na mbandari kwa malori iwe rahisi zaidi! Mkwele tumemchangua wenyewe acha atutese
 
TANZANIA TUNAUMIA KWA WOGA WETU.

Hakika kama tusipobadilika tukapunguza uoga,wenye meno wataendelea kuitafuna Tanzania na familia zao kunehemeka.kilichopo walioko madarakan wanawatumia watoto zao kujilimbikizia mali, baba ridh watanzania siku wakipunguza woga kwa asilimia moja wengi mtaishi uhamishoni.

""" HAKUNA MAENDELEO BILA KUJITOA MHANGA""

wakujatown, huyo ****** asingeweza kumaliza hata miez sita kabla ya maandamano kumwondoa, lakin maandamano yakianza kumwondo jk na kuban ccm yake, yeye ataanza sera zake za udini na atahamasisha wadini wenzake ili wapambane na waandamanaji. Tuvumilie tu, lakin ****** hafai, yeye na familia yake wamejilimbikizia mali.
 
Back
Top Bottom