Recent content by del moe

  1. del moe

    Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    Wapendwa tuwekeeni nasi maana ndo tunaanza kujitafuta
  2. del moe

    Mapito ya Maisha: Pesa, Urafiki, na Ulezi wa Mtoto

    Lugha gani umeandika? , hueleki jombaa, ama jikiti + pombe vimekutawa kichwa?
  3. del moe

    Watanzania someni rasimu ya elimu kwa makini

    Iko wapi sasa
  4. del moe

    Wakuu yamenikuta

    Shida uliingia miguu yot miwili, Cha kufanya kimbia fasta kabla hujakutwa na tukio la matukio
  5. del moe

    Songwe: Mwalimu wa Shule ya Msingi Senjele atuhumiwa kumbaka Mwanafunzi wake

    Bila ka picha si tulisema ni umbeya, anyway ukute walikubaliana na dog( mwanafunzi) kaonyesha ushilikianao)
  6. del moe

    Mrejesho wa connection za wataalam(waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe HESHIMA YAKE

    Huwa nasikia wapo, japo huhusisha kafara . Kuwapata Nako ni tizi sana zaidi utapata matapeli utapigwa kweli kweli . Piga kazi mda ukifika utatoboa mkuu.
  7. del moe

    Dizasta Vina - Simulizi, ubunifu na maisha ya jamii yake ndani ya album ya The Verteller

    Nimewahi nunua album 2 tu katika maisha yangu 1.Machozi , jasho na damu, na 2. A.k.A Mimi ( mangwea) Ngwea namkubali sana mapini yake huwezi kuyakosa kwenye playlist Yangu, Dizasta vina hili ni tatizo ameumiza kichwa sana . Maishari Yana Jenga sana ( mwili , akili hata uchumi) ...
  8. del moe

    Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

    Ukwa mwongo uwe na kumbukumbu, si ulisema wwe una degree ya engineering Tena umeioigia Moscow, sio voice uume kuwa je mwalimu Tena na ulimponda yule ticha eti ana kuvimbia mbwa wewe huna akili
  9. del moe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Boooom
  10. del moe

    Hip Hop Diss Tracks: Dizasta Vina amjibu Rapcha

    Black Maradonna
  11. del moe

    Dizasta Vina a.k.a Maradona

    Wakuu tuwekeeni mapini basi ya kamanda dizasta vina wote tuinjoi
  12. del moe

    Nimekasirika kuitwa malaya

    Nimeamini kumbe ni kweli vile unatukanwa!
  13. del moe

    Namna ya kuwajua maadui zako kupitia ndoto

    Wazee wa najaribio mje na mrejesho.
Back
Top Bottom