Recent content by ded2010

  1. D

    JamiiForums Tanzania Concentration Test

    simple sana kama mwanzo mpira ulikuwa kulia ukistart halafu ikastop basi mpira utakuwa kushoto and the inverse is true
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Tatizo ni kujifanya wapo tofauti kumbe ndiyo wanaharibu kichizi.Hapo ITV wamechemka
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mjikumbushe Mzumbe High School

    mmenikumbusha mbali sana mimimnilikuwa mzumbe kwa miaka sita 1995-2000 nilikuwa mkwawa namba nne namkumbuka mwalimu minja alitutandika darasa zima form one A kisa kumkumbushia muda wa kipindi chake cha english ulikuwa bado; tunawakumbuka enzi hizo mwalimu mkumbo ,bitwale, T.D.K. MSUKAhead...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

    alikuwa anaitwa malkia wa wizi wa kalamu alifungwa miaka 28 nikumbukavyo mimi labda wana jf wanikumbushe kati ya mwaka 1987 au1988 kama sikosei enzi hizo nilikuwa young sanaduh umenikumbusha mbali sana mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Babu na serikali

    amini usiamini babu ni tofauti inabidi apewe ulinzi madhubuti hawajakosea.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Haya Ndio Matokeo ya Kidato cha Sita

    ahsante mkuu nimeona pia vijana wangu wa mzumbe hawajaniangusha, ingawa perfomance yake siyo kama ile ya enzi zetu,enzi za tanzania one marehemu wibonele mungu amlaze mahali pema peponi ameni.Tulikuwa chini ya headmaster T.D.K MSUKA kisha akaja mr mwasha.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kwenye sherehe za muungano!!!

    Mwisho wa ubaya ni aibu, tusubiri tuone yanaweza kutimia.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inalipa??

    consult entepreneur at udsm school of bussiness
  9. D

    JamiiForums Tanzania gazeti la mtanzania lahujumiwa dodoma

    mambo ya jino kwa jino yameshaanza lakini mwisho wa ubaya ni aibu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ngassa alioa akiwa na miaka mingapi.........

    ndiyo maana watanzania tunaforge pasipo kufikiria
Back
Top Bottom