Haya Ndio Matokeo ya Kidato cha Sita

Thank you very much mkuu.....

This time website iko fasta na vijana wangu wa ilboru hawajaniangusha

But overall bado hatujawa vizuri sana
 
Tufahamishane namna hizi points na divisions zinavyotolewa. Kuna mahali mtu ana pts 9 ni div I; na pengine ni div III , na pengine pts 8 ni div III.
Mfano halisi angalia matokeo ya Marian Girls.

Mkuu asante sana kwa link hizo maana tangu jana website ya necta ilichakachuliwa na nikaliwa 400/= za sms bila majibu.
 
Tufahamishane namna hizi points na divisions zinavyotolewa. Kuna mahali mtu ana pts 9 ni div I; na pengine ni div III , na pengine pts 8 ni div III.
Mfano halisi angalia matokeo ya Marian Girls.

Mkuu asante sana kwa link hizo maana tangu jana website ya necta ilichakachuliwa na nikaliwa 400/= za sms bila majibu.

Kuna uwezekano amepigwa penalt katika somo ambalo kwa kawaida sio core subject ila nilazima ulifaulu kwa kufikisha kiwango flani cha ufaulu. Mfano Basic Applied Mathematics(BAM) kwa PCB's na Combinations zingine wanaosoma ilo somo hasa sayansi au Genaral Studies kwa Combination zote.
 
Tuliosoma IST hatuhusiki na NECTA.....BIG up kwa mashori woote tukutane IFM basi
 
ahsante mkuu nimeona pia vijana wangu wa mzumbe hawajaniangusha, ingawa perfomance yake siyo kama ile ya enzi zetu,enzi za tanzania one marehemu wibonele mungu amlaze mahali pema peponi ameni.Tulikuwa chini ya headmaster T.D.K MSUKA kisha akaja mr mwasha.
 
Mkuu wa Mzumbe si unajua siku hizi leakage ya mitihani haipo kama enzi zenu? Madogo wanaumia kweli yaani hamna leakage hata kidogo huenda leakage ikianza kama enzi zenu watafaulu kama ninyi mkuu!!!
 
Asante Mkuu kwa taarifa ila shule nyingine bado kufeli ni kwa kasi zaidi. Bado naendelea kuwapongeza Marina Girls, Kifungilo, Kibosho, St. Mary Mazinde, etc na zile za Seminary Uru, Maua na St. James.
 
mkuu wa mzumbe si unajua siku hizi leakage ya mitihani haipo kama enzi zenu? Madogo wanaumia kweli yaani hamna leakage hata kidogo huenda leakage ikianza kama enzi zenu watafaulu kama ninyi mkuu!!!

jamaa inabidi uwatake radhi wadau wote waliopita mzumbe.
Mzumbe inatambulika kama ni vichwa sana.
Mbona tabora boys ilishuka sana tu na sasa inarudi kwenye chat yake..inawezekana ni matatizo tu ya kishule.
Mambo ya walimu na uongozi.
 
Back
Top Bottom