Ni biashara gani inalipa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni biashara gani inalipa??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrahim K. Chiki, Apr 13, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
   
 2. m

  mjanjamimi Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mhh weka benki endelea kutafuta
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Fungua duka lolote pale Samunge Loliondo inalipa sana kwa sasa.
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja ipite bila kupingwa pls changamkia ushauri kabla wengine awajakuwai
   
 5. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Duu...
   
 6. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Duh! mkuu jamani hata kainterest kabiashara yeyote huna jamani! Ok jaribu kufikiria biashara hii and make sure umefanya survey katika eneo unapo ishi. Kama uko Dar buy mitungi ya gas 30 ya kilo 15 and 30 ya kila 6. (Biashara ya domestic Gas inalipa sana hapo Dar) Sasa ifanye kwa style tofauti. Weka M-Pesa pia hapo kwako. Pia kodisha pikipiki moja kwanza (most of the owners wa pikipiki they need elfu 6 kwa siku, kwa mwezi ni 180,000) kijana wa kuedesha pikipiki kubaliana nae. anatakiwa afanye kazi within maeneo ya ofisi yako. Use him to do "Cooking Gas home delivery" whereby mteja will just make a call anytime then anatao direction alipo so kijana wako will just deliver Gas within 15min. Print vipeperushi visambaze katika eneo unapo ishi au ofisi yakoilipo. Sehemu nzuri ya kusambazia vipeperushi kama hivyo ni karibu na misikiti au kanisa baada ya ibada, jumapili au Ijuma. Therefore kutokana na faida ya mitungi ya 15kg if you can distribute mitungi yote 30 in a day it means you have not less than 65,000 unlike mitungi ya 6kg. Kuhusu M-Pesa, it won't be a must for a customer to pay cash hata akiwa na M-Pesa you do accept lakini you have to charge kama vile atakavyo taka cash. Therefore mteja akiwa ofisini akijulishwa Gas imeisha will just send you M-Pesa then unadeliver Gas nyumbani kwake. Guys hapo Dar there is alot of businesses but one has to be so creative and business oriented. To deal with biashara ya huduma kwa jamii it pays alot. Mkuu huwezi poteza pesa yako ila am very sure demand ndio itakushinda usipo kuwa makini.
   
 7. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Good idea dude
   
 8. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kila biashara inalipa, inategemeana sana na ubunifu wako. Soma kitabu kinaitwa "ACRE OF DIAMOND". Hapo ulipo sasa hivi kuna biashara yenye faida kubwa sana, chunguza kwa makini.
   
 9. J

  Justine Kilasara Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna biashara yenye hasara
   
 10. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii nimeipenda lakini ina specific maeneo km Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach na sio Buguruni kwa Mnyamani, Manzese Kwa Mfuga mbwa nk nk
   
 11. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu hao wafuga mbwa ndio wenye kutoa pesa, wanapeda sana home delivery due to time factor.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  fungua kagrocery ka matunda na fresh juice. Unaweza kutafuta orders maofisini ukawa unawapelekea fruit dishes kila siku mida ya lunch.
   
 13. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ahsante mkuu japo sikuomba mimi ila huu ushauri nimeupokea na nitaufanyia kazi
   
 14. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  si kweli kwani nani asiyetumia gas kwa sasa na nani asiyejua MMPESA tena maeneo ya mfuga mbwa ndio vibanda vya mpesa kibao,nafikiri tena kama hamna taht will be BLUE OCEAN u should have the UNCONTESTED MARKET THERE
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  nzuri ila ngumu kwa wananume hasa wenye elimu kiasi,ila kwa wadada wa atandard seven its the choice
   
 16. n

  noella Senior Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  @Prime Dynamics

  Mkuu nakukubali..kila idea ya biashara unayoitoa inakuwa imesimama.
  hongera sana.Nakuombea uzidi kutupanua mawazo.
  Ubarikiwe
   
 17. d

  ded2010 Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  consult entepreneur at udsm school of bussiness
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  watu wengi huwa wanadharau biashara fulani kwa kujiona wana elimu ya darasani!!
  Kuna mama mmoja alikuwa anahojiwa anasema katika biashara yake ya kukaanga mihogo anapata faida ya elf 10. Anaanza kazi sa moja hadi sa sita mihogo ishaisha.
  Ukipiga mahesabu kwa mwezi utaona faida yake.
  Nina uhakika kuna watu wapo kwenye ofisi za watu zenye majina makubwa ila mishahara yao hata laki haifiki na wanatumika asbuh hadi jioni.
  Inawezekana vielimu walivyonavyo wanaona kuna baadhi ya biashara hawastahili kuzifanya. Inawezekana wewe ni mmojawapo.
   
 19. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Prime idea ni nzuri sana nimeipenda,na pia kumekuwa na kasumba ya watu kudharau aina ya biashara,ni mtu kuiboresha tu.
  Maana ukichunguza kiundani wanaopata pato kubwa ni hawa tunaoona biashara zao zinawafaa wenye viwango vidogo vya elimu.
  Kuna kijana huku nimeona kafungua kampuni ya kufanya usafi maofisini,na kusafisha mazulia ya majumbani.
  Hivyo ni kwa makubaliano na ofisi malipo yanaweza kufanyika kwa mwezi.
  Kingine ni Bakery ya kutengeneza mikate,sina details za gharama ya oven,unaweza kuanza na manual labor katika uandaaji wa unga wa mikate,skonsi,na keki ukawa unasambaza maofisini,supermarket sababu hiki ni chakula kinachotumiwa kila siku naamni mauzo yatakuwa mazuri,kwenye miji mikubwa kama Dar,Arusha,Mwanza
  Changamoto ni kutengeneza bidhaa inayokubalika kwani kuna watu wenye majina tayari.
   
 20. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fanya hivi, nunua boda boda zako tatu wape vijana waaminifu unaowafahamu wapige mzigo, kwa siku watakuletea mkate mmoja,sukari 1kg + 8,000 *3 =24,000 kwa mwezi ni kama 720,000 hapo wanajilipa wenyewe na mafuta wanaweka wenyewe we utahakikisha servise inafanywa kwa wakati, wakati huo unakaa nyumbani tu miguu kwenye sofa remote mkononi na coca badiri pembeni na papcorn...!
   
Loading...