Recent content by davidngonde

  1. davidngonde

    JamiiForums Tanzania House4Rent House for rent needed, budget TZS 18,000,000

    1.6m×12 miezi =19.2 M huku kwetu simiyu unajenga nyumba ya kifahari
  2. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Simba SC yailaza Ruvu Shooting, yabaki kileleni kwa tofauti ya alama nne

    Masau bwile
  3. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Swali? Ukianza upya elimu ya msingi ile ya juu inafutika?

    Na Mimi naomba niongeze swali katika hilo..... Kuna mshikaji alimaliza kidato cha sita enzi hizo na kupata div 3 ya points 14 kwa maana ya D E E na kwa vigezo vya wakati alifanikiwa kijiunga na chuo kikuu kuchukua shahada yake, sasa kahitimu bahat mbaya iyo shahada haina ajira anafikilia kurudi...
  4. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa draft

    Ha ha ha ha Mkuu iyo Ebola ndiyo ikoje?? Kuna jamaa hapa mtaani ananifunga sana Nipe formula na Mimi nisumbue watu hapa
  5. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Migogoro wa wakulima na wafugaji haijapata ufumbuzi

    Mama kawatetea wafugaji labda kwa vile na yeye ni wa huko Ukweli ni kuwa wafugaji ni tatizo Ugali ni muhimu kuliko nyama Anasema tatizo lilianzia kwenye hizo hekta 70k......... Ina maana wafugaji wote tunao waona maeneo mbalimbali wakisababisha migogoro ni hao wa manyara peke yao?
  6. davidngonde

    JamiiForums Tanzania JamiiForums' Person of the Year 2016

    Melo sidhani kama anatakiwa kuwa sehemu ya hili shindano Ila angepewa tuzo ya heshima(Hall of fame) Then members wengine wachuane, Ni uzi mzuri
  7. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

    Baba yake wakazi underscore music
  8. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

    Baba yake wakazi underscore music
  9. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Msaada wa cv

    Ya kazi Takazi Unasema upo makini Ova
  10. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Solo Thang: Tuzidi kumuombea Chid Benz

    Kosa linalo rudiwa zaidi ya Mara moja huwa ni maamuzi
  11. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Mtaji kidogo kwa aliekosa kazi unapatikana

    Mkuu ulifanikiwa? Upo bariadi sehemu gani?
  12. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Small task takes just 30 seconds to complete and earn 10$ per task.

    Hii inakuwaje wakuu?
  13. davidngonde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama zetu humu JF je haya Wanayotufanyia Mabinti zenu nanyi mliyafanya?

    Makusudi mkuu narudia tena makusudi Najua kwanini nasema hivyo
  14. davidngonde

    JamiiForums Tanzania Tovuti kumi zinazoongoza kutembelewa, Facebook yashika namba 2

    Ivi wasap ni tovuti?
Back
Top Bottom