uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,670
- 4,263
Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo