Mzunde
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 141
- 103
Poleni na majukumu wakuu,
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu , jamani naomba mwenye muundo mzuri wa cv anisaidie maana mwenzenu ninamwaka wapili sasa nimetuma cv kila ninaposikia nafasi ya kazi ila sijawahi bahatika kuitwa kwenye usail hata mmoja. Msaada wenu ni muhimu sana