Recent content by David Michael samweli

  1. David Michael samweli

    Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

    Unatka ufanye ujasusi eti eee. Nini dhamila yako labda....?
  2. David Michael samweli

    Kwenda kujiandikisha ni kama kupima UKIMWI...

    Utafananishaje na ukimwi
  3. David Michael samweli

    Macho yako yanaona kama mimi? Mimi naona kama DSM fursa za kupiga pesa ni nje nje

    Naomba niwe wakala wako nipo huku mbeya. Nakutafuti mazao ya uwakika kwa bei ya faida
  4. David Michael samweli

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Kusema kwamba ahakikishiwe usalama yeye masaa 24. Tafsiri yake kisomi ni kwamba Watanzania wote hatuna usalama ukijumuisha na Famila yake yeye. Ni fedhea sana kutoa kauli hiyo. Huku tuna elimu bure tunakula tunafanya kila kitu cha kibinadamu .....
  5. David Michael samweli

    Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe

    Habari zenu ndugu zngu
  6. David Michael samweli

    Watanzania wenye asili ya bara la Asia tujuane hapa!

    [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nyie sio watnzanian
  7. David Michael samweli

    Baba amuua kijana aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake

    Duuuh shida ni mazingira ya malezi na marafiki walowazunguka
  8. David Michael samweli

    Biashara ya Mitungi ya gas

    Samahani nauliza kuhusu biashara ya gas kwa matumizi ya nyumbani.Ni vigezo vipi vinahitajika mpaka mtu awe wakala wa usambazaji wa bidhaa hii. Mfano wa makampuni ya Orxy gas,Majimas gas nk.
Back
Top Bottom