Define your love life in one word

Penzi langu ni mateso makubwa...Mwanamke niliyenaye nampenda sana ila sifuraishwi na tabia zake... Ananichuna, anipi mzigo, hajui hata kunipetipeti nikiona simu yake naogopa maana najua naliliwa shida, yeye hashei furaha na mimi ni shida tu naelezwa....Ananitesa sana nakufa kiume na kumuacha siwezi.

Mungu nipe nguvu niione kweli.
One word “ hurricane”.
 
What a jerk just leave
 
Kwani mmeunganishwa kwa super glue hadi unashindwa kumkimbia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom