Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

Ndege anayopanda Rais ina call sign gani?

NB: Kumbuka Yule katibu mkuu WA umoja WA mataifa aliyefia kwenye misitu minene ya Kongo baada ya ndege yake kupata hitilafu!
Hilo la kufa sijui,ndio nalisikia kwako mkuu
Nadhani anamzungumzia UN-SG Dag Hammarskjöld, yule aliyefia Zambia akielekea Congo kutafuta amani!. Inasemekeana alitunguliwa na mabepari baada ya kuona ameanza ingilia maslahi yao Congo.
 
Hawa jamaa Wana wasiwasi Kama kunguru maana maisha yao ni rushwa ,ufisadi nk wanahisi ni Kinga ya usalama wao
 
Wakuu Ndege yoyote anayopanda Rais mara nyingi inapewa jina Ili iweze kutambulika na watu wa control tower mfano rais alivopanda dream liner basi pale pale ili change jina kwa muda mpaka aliposhuka ndo ikarudi jina lake halisi haya majina kuendana na Kuwapo yeye ndani ya ndege hio huongeza Heshima na Umakini wakati wa landing and taking off.

Mfano Trump akiwa kwenye ndege yoyote basi call sign name yake itaitwa Airforce one hata kama ni bombardier Q400, naomba kujua call sign name ya Rais wetu awapo ktk usafiri wa anga.
Unataka kujua ili?
 
Sio kila jambo unapaswa kulijua.... Hata hiyo "code name" ya Trump ni tofauti sna n mliyoizoea nyie ktk Movies za "Hollywood" Rais Trump ana code name yake ya siri japokua ndege ndio inaitwa AIR FORCE ONE lakini pia akiipanda kuna jambo linaongezeka pale mbele (sub-code) so kwa hapa TZ huwezi kuijua itabaki stori tu.
Wakuu Ndege yoyote anayopanda Rais mara nyingi inapewa jina Ili iweze kutambulika na watu wa control tower mfano rais alivopanda dream liner basi pale pale ili change jina kwa muda mpaka aliposhuka ndo ikarudi jina lake halisi haya majina kuendana na Kuwapo yeye ndani ya ndege hio huongeza Heshima na Umakini wakati wa landing and taking off.

Mfano Trump akiwa kwenye ndege yoyote basi call sign name yake itaitwa Airforce one hata kama ni bombardier Q400, naomba kujua call sign name ya Rais wetu awapo ktk usafiri wa anga.
 
Sio anacho fanya marekani nasi tunafanya kila nchi na utaratibu wake.
jamaaa kauliza kitu sahihi, na kiutaratibu kuna protocal katka anga kama ilivyo ardhini. huku chini kuna namba za agri, misafara yote hii kuonyesha uzito wa anaye pita, sasa angani huko ndio utambulisho kama alivyosema, Tanzania one, huonyesha uzito huo
 
Apopanda Dreamliner umesema iliitwaje? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom