Recent content by Dartz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Pentekoste waiomba Serikali kulifuta Kanisa la Askofu Gwajima

    Nasikia Rwanda ukitaka kuanzisa Kanisa lazima uwe na Elimu ya kiwango cja Degree.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mbunge kuhudhuria Vikao Bungeni ni Kubaka Democracy

    Kwa uzee wote, unaogopa kutukanwa ?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Asante Nape kuachana na siasa za CCM, tutakumiss sana!

    Umenena ndugu, akiisoma naamini ataandika kitu fulani
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

    Ni institution
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge wasipinge TRA kukusanya kodi ya majengo

    Kodi ilipwe wasitake kufanya ujanja
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

    Rais sio political post
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kuyeko atimiza ahadi ya kulipa ada ya shule kwa mtoto wa Anderson

    Safi sana
  8. D

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV na Profesa Ndalichako: Hakuna jiwe litakalobaki bila kugeuzwa

    Wewe na mwenzako mnaleta usengerema wenu kwenye mjadala? Si mpeane contact mkatakutane guest?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Wachache watakuelewa. Hata mimi siamini kama kuwa na stashahada sita ndo kigezo cha juu katika kuwa na uwezo kuongoza watu. Mikataba mingi mibovu na sheria kandamizi zinatengenezwa na wenye PhD. Na tuache MUNGU aitwe MUNGU
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wanaongoza kipindi cha ITV cha Malumbano ya Hoja sina imani

    Wadau, naangalia kipindi cha malumbano ya hoja ITV hivi sana. Mmoja wa wachokoza mada ni Dr. Avemaria Semakafu. Dr. Avemaria anasema wabunge wanaacha kuongelea mambo ya majimbo yao badala yake wanaongelea mambo tofauti kama issue ya Lugumi. Binafsi nimemshangaa huyu Dr. Avemaria. Hivi kama...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mrema: Maalim Seif anafanya uhaini yafaa achukuliwe hatua haraka

    Sasa kosa la Maalim Seif liko wapi hapo, hadi kuitwa mhaini? Wahaini ni hao wanaojifanya kujipendekeza wabaki kwenye siasa huku dhamira yao ikiwa tofauti
  12. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania 8 waliojiunga na Al Shabaab wakamatwa

    Siku moja wema utashinda ubaya.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Makonda achuniwa na mtoto wa Kabwe msibani

    Kupeana mkono ni ishara ya mawasiliano ya ndani. Mara nyingi kupeana mikono ni ishara ya upendo au hata kuomba msamaha. Kuukataa mkono wa mtu ni ishara ya vita au kuonyesha kuwa vita iliyopo bado haijaisha. Lakini kupeana mkono kwa kukejeli hiyo ni mbaya zaidi. The sky is the limit. RIP Kabwe
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Jerry Silaa Utata Mahakamani Leo

    Kanyaga twende slaa ukisikia puu ujue umefika
Back
Top Bottom