Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

Bashe: Kama mnataka kutukata kodi mkateni na Rais

Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Mbona hutambui haki za watu kuzungumza wanachoona kiko sahihi???? Kwan kuwa ccm akaongea ukweli ndio sababu ya kumwita mamluki???? Hiv watz tuna shida gani kwa ubongo jamaniiiiii.. Daa so sad
 
Huyo sasa hivi inaweza akafukuzwa uananchama kisa kaongea ukweli

!
!
Yaani kuna sheria za ajabu kweli kweli. Eti viongozi wasamehewe kodi? Wasamehewe kwa sababu gani? Kwani madhumuni ya kodi ni nini? Hii nchi ya ajabu mno. Kumbe baba Jesca na makelele yake yoooote kodi kodi kodiii kumbe yeye halipi!? Aibu mno.
 
!
!
Yaani kuna sheria za ajabu kweli kweli. Eti viongozi wasamehewe kodi? Wasamehewe kwa sababu gani? Kwani madhumuni ya kodi ni nini? Hii nchi ya ajabu mno. Kumbe baba ***** na makelele yake yoooote kodi kodi kodiii kumbe yeye halipi!? Aibu mno.
Mkuu kwa moto huu wa wabunge wa ccm ndiyo tumeanza kujua maovu yaliyo jificha ndani ya chama chao
 
Mimi sipendi kabisa undumila kuwili wake, nani ambaye hajui is still stauch supporter wa Lowassa - anauma na kupuliza hana ubavu wa kunyionyesha dhahili.

Rais Magufuli amejipunguzia mshahara wake kwa karibu million tisa katika harakati ya kubana matumizi - je, huyo Bashe na wabunge wengine ambao wako very vocal kumlahumu Dk.Magu wamechukua hatua gani ku resprocate mfano mzuri wa JPJM - hawana!!! Wanekazania wasikatwe mafao yao ya mwisho - selfcentered from head 2 toe!

Salary slip yake ya mwanzo kabla hajajipunguzia mshahara uliiona? Na salary slip ya sasa hivi Umeshawahi kuiona?
 
Wanasiasa acheni ubinafsi.Mngekuwa mnatetea maslahi ya wananchi kwa ukali huo tungekuwa mbali sana.
 
Nchi hii Africa Mashariki na kati Tanzania inawezekana sisi tukawa tunaongoza kwa ujinga tukawa atujijui haiwekani watu wanaotuaminisha kulipa kodi wao awalipi kodi alafu mtu anakuja kutetea ujinga hapa kisa chama sasa kwa nini mkuu wa wilaya asilipe kodi kwa nini mkuu wa mkoa asilipe kodi mnataka walimu ndo walipe kodi ujinga mkubwa sna
 
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Aibu Aibu yako hata wewe!!!!!!!!!Usipende kuonesha udhaifu weko hadharani!!!!!
 
Huyu bashe atawasumbua, hapa anakubali kwamba wakatwe kodi lakini wigo uwe mpana zaidi na usio onevu kwa kuwakata na wanasiasa wengineo akiwemo rais. Mawazo yake yanashabihiana na UKAWA!
Na mapato kwa serikali yataongezeka sana. Usawa pia utaongezeka. Watz bila kujali itikadi watafurahi
 
Nyie na Bashe wenu wote vichwa maji ndio maana mnaropoka! Bashe anasema kuwa sheria ndio inatoa wigo wa Rais kuto kukatwa kodi halafu papo hapo anasema Rais naye akatwe kodi..hivi huyu Bashe akili ataipata lini? Hivi kuwa mfuasi wa Lowasa kuna mfanya mtu awe kama nyumbu?

Hivi Bashe nani kamkataza kupeleka hoja ya marekebisho ya sheria ili Rais awe ana katwa kodi? Ninani alitunga sheria hiyo kama si wao wenyewe? Ni nani wa kuirekebisha kama si wao wenyewe? Hivi Bashe maumivu ya Lowasa yatamuisha lini?
Hakuna haja ya kutoa povu na kuugua. Mwenzenu kaonyesha ujasiri kachoka unyonge wa kushangilia.
 
Huyu jamaa nilikuwa namsikia tu lkn sijawahi hata siku moja kupata muda wa kumsikiliza akiongea kumbe nilikuwa sahihi kabisa hakuna nilichokikosa kwa kumpuuzia muda wote huwo, anaongea Pumba tu, sasa nimeelewa kwa nini alikuwa timu Lowasa kwa maana wote wanafanana katili mpaka kwenye unyayo, wizi tu!
​
Huyo Bashe, siyo intelligent man!​
Mwite majina yote ukimaliza jibu hoja zake, ndugu.
 
Back
Top Bottom