Katika magazeti ya leo yameandika kwamba Nape ameamua kuachana na kugombea nafasi yoyote ndani ya chama chake na kwamba anafuata nyayo za Kinana. Pamoja na misimamo yangu tofauti naye mi nasema tutammiss sana Nape.
Tutamiss sana siasa zake za kumchukia mtu na kuthubutu kumpakazia kila aina ya uchafu. Tutamkumbuka alivyothubutu kumchafua Lowassa katika program iliyofail ya kuvua gamba. Mwisho gamba likawageuka wanaccm wenyewe wakaanza kuitwa magamba. Tutakumbuka press conference zake za kipropaganda. Nakumbuka alivyokuwa akidanganya umma kwamba Chadema wamepewa na wafadhiri ili waandamane kuvuruga amani ya nchi.
Ntakumbuka baada ya dogo Janja kuwapa kipigo kule Arumeru alivyowahi kukubali matokeo mpaka wenzake wakasema anawahujumu wanaccm kutokana na makundi yao. Nape alikuwa mahiri bwana! Mpaka aliitwa Al Sahaf yule msemaji wa Sadam Hussein ambaye baada ya kupigwa sehemu zote za Irak alisema sasa wanawasubiri Bhagdad wawazike humo.
Ila namshauri kule anakoenda hukuhitaji propaganda sana. Ameona baada ya propaganda zake kwamba wananchi wanapongeza bunge lisionyeshwe live, utafiti wa jana unasema 80% ya watanzania wanalaani bunge kufunikwa blanketi la serikali. Kama hamuogopi boss wake kama tunavyomjua Nape basi amwambie kwa watanzania wamewashutukia kwamba nia yao ni kuwarudisha miaka 50 nyuma
Amwambie kwamba haoni zile sifa alizopewa na kila mtu kuanzia mwezi Octoba tena wazi sasa zinaanza kugeuka kuwa lawama toka kwa kila mtu tena wazi? Amwambie ukweli kwamba siri ya kutopewa uenyekiti wa chama mpaka sasa ni kuhofia maamzi yake. Ndiyo! Kwani wazo la kutoonyesha bunge si lilianza wakati wa Kikwete? Aliona asiamue yeye akamuachia anayekuja ajitundike!