Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Richmond ni ya Kikwete
Lowassa alijiuzulu nini kwa nini kama Richmond ni ya Kikwete????? kadanganye mtoto wako huku tunataka upembuzi wa mambo sio kukurupuka na kutaja watu bila ushahidi
 
Mwakyembe anamuogopa sana Sugu kuliko Mungu ! Sijui kwanini ?
ukimwambia Mwakyembe ataje sifa za Mungu ataanza "Yule mbunge msanii wa Mbeya sijui anasema nini?' Ndiyo kumuogopa au kampa zarau ya kumtosha he he he ... Anaongea kwa kejeli .... kaja hapa kusema nini?
 
Hata ukiwa na PhD kama matendo na kaulizako hazilingani na elimu unayodai kuwanayo lazima uhojiwe. Cheo cha Elimu yako sio kila kitu.
 
Hivi alipata kura ngapi na Mwakyembe ngapi??
Inategemea kura kampa nani inawezekama ni nchi ya kusadikika yeye ndiye wanamuelewa na kumuona anaongea kama wao. Form two kubwa huko kwao. he he he
 
Lakini exposure aliyonayo..hata huyu mwakyembe anayejifanya Mungu mtu ham fikiri hata robo including you.Ccm wote ni Mapimbi tuu
exposure ni nini ? form two ya shule ya bush huko mbeye ndiyo exposure au kwenda Dodoma? Yaani wewe lazima hujui expose unapataje au kwenye jukwaa na kuimba Ubongo wa Flever
 
Sugu asimjibu Mwakyembe mpaka apate taarifa ya daktari juu ya afya yake
 
Mwakyembe anamshangaa nini Sugu wakati nyie wenyewe mmetaka wabunge wajue kusoma na kuandika? Kwani sugu hajui kusoma na kuandika?

By the way Mwakyembe akiwa kama msomi hapaswi kujadili watu bali mauala. Otherwise ni use.....?
Naona hii awamu ya tano ni ya sifa na majivuno!!
 
exposure ni nini ? form two ya shule ya bush huko mbeye ndiyo exposure au kwenda Dodoma? Yaani wewe lazima hujui expose unapataje au kwenye jukwaa na kuimba Ubongo wa Flever
Maskini...hata hujui historia ya Sugu...hujui Anna ya exposure. Pole zako.
 
tuliza ball..sio unaandika na hasira. unaona sasa umeandika ugoro. eti unamdharau mwanasheria mahiri kama mwakyembe!
Acha kujipendekeza hilo Feki sio mwanachama wa JF
Eti "mwanasheria mahiri" ugoro mtupu, alitumiaje taaluma yake kwa aliodai wanataka kumuua
 
Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Wachache watakuelewa.
Hata mimi siamini kama kuwa na stashahada sita ndo kigezo cha juu katika kuwa na uwezo kuongoza watu. Mikataba mingi mibovu na sheria kandamizi zinatengenezwa na wenye PhD. Na tuache MUNGU aitwe MUNGU
 
[QUOTE ung'o boy, post: 16434460, member: 160761] Huyo msomi kagundua nin cha maana au katuletea nin cha maana, usikute hata ki IQ kazidiwa basi tu alipata bahati ya kusoma[/QUOTE]
Msomi huyu aligundua kuwa, Taifa letu laweza kunawiri kwa kukubali kuwa na mfumo wa serikali tatu. Bahati mbaya sana hamkumuunga mkono. Tafuta maandishi yake utalikuta hili.
 
aiseee kweli nimeamini vilaza hawako mashuleni leo nimeona Waziri kilaza na mtoa Maada kilaza eti kawamaliza ivi uliishia darasa langapi ww
 
Problem is not PHD, standard seven or whatever but the basic problem is PHD ACTIONS are not yet realized than mind-driven, personal interest-driven and slave-serving. I can only pick one action of which was revealed during NBC scandal.
you are full of ambiguity.
 
Sugu asimjibu Mwakyembe mpaka apate taarifa ya daktari juu ya afya yake

WEE MZEE...NADHANI UMETOROKA HAVARD UNIVERSITY ULIKOKUWA UKICHUKUWA PHD YAKO KATIKA MAMBO YA KUTAFAKARI NA KUTOA MAJIBU SAHIHI KABISA.

JIBU LAKO LINATOSHA KUFUNGA HUU UZI MPAKA WATAALAMU WA SAYANSI WAFANYE UCHUNGUZI KUJUA AFYA YA AKILI YA WAATHIRIKA WA POLONIUM OR ANY OTHER RADIOACTIVE MATERIALS AFTER 3-10 YRS OF RECOVERY...A CASE OF MWAKYEMBE.
 
Back
Top Bottom