Recent content by Dar half life

  1. D

    The Republic Of unknown men

    I am not so sure why the Commander in Chief has not taken serious seen measures utterly citing his opinion being against such cowardly malicious actions done to our fellow brothers and sisters... But the worst part of all is the fear people have to the extent of pretending everything is okay...
  2. D

    Hati fungani zaporomoka hadi asilimia sita, riba ya BOT yashushwa mpaka asilimia 11 kwa mabenki ya biashara

    Taarifa zako siyo sahihi TRA hawakati 18% kwenye mtaji wako wanaikata kutoka kwenye faida yako
  3. D

    Nataka kuacha kazi niwe mjasiriamali, naombeni ushauri

    Watanzania tulio wengi tunahofu ya kuacha kazi tunapokuwa nayo kwa sababu ya hofu ya maisha ya baadaye...Hujawahi kujiuliza kwanini biashara nyingi na viwanda ni vya wageni hasa Wahindi na wachina...Naungana na Kagame..matatizo yetu weusi mengi tumesababisha wenyewe..Nothing is easy
  4. D

    Kwanini Mwezi Februari una Siku 28 au 29 tu na si zaidi ya Hapo?

    Kwa mfano umezaliwa 29th February...So kila baada ya miaka mitatu ndo unasherehekea au uta opt kujitaftia siku nyingine miaka ambayo inaishia 28 days cycle.
  5. D

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Nilikuwa nafanya hii business but now mtaji wangu umekata but ninazo line zote mbili ambaye yupo serious Tigopesa atanirudishia 200,000.Voda 150,000 ..0714589057. Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  6. D

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Mkuu Una speaker kwa ajili ya makanisa na vipi mic zile za kuvaa masikioni
  7. D

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Business is all about negotiation 370,000 hailipi toa 480,000 sasa mtu anakupigia ili tujadiliane kupokea napo ndugu upokei Dah basi nimejivuta mpaka 450 nipo njiani nakuja kuchukua respond kwenye number inaishia 27
  8. D

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Mkuu kesho unafungua nije nichukue smart tcl ile 32 inch Nina 370,000
  9. D

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Dini ni kitu hatari Sana Kama mapokeo yatakuwa hivi.Usichoke kujifunza na kutafta ukweli,ukristo na uislam vyote ni vigeni kwetu waafrika.Usikumbatie kilichokuja kutoka kwa wenzetu ukikutana na hoja Mpya fuatilia jifunze ufanye hitimisho sahihi.
  10. D

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Sasa huku umekuja kufuata nini SMH
  11. D

    Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

    Blue sea wanamiliki jua..Saudi..The black stone wana Miliki mwezi both serve the Dragon of Rev 12:9...Benki kuu ya America ni private bank ajabu ilioje kwa nini Trump asiwe na adabu Jfk alijaribu but tuliona kilichotokea hakuna wa kuzuia Jesuits....
  12. D

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ulienda kuhakiki cheti chako au ilivyofika tar 15 tu ukamwambia mama Ashura umeanza likizo
  13. D

    Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Positive minds tumekupata negative minds mpaka leo bado wanauliza Kati ya Kuku na yai Nani Aliwahi..Nime absorb kitu kwenye Uzi...Acha niendelee kutengeneza nondo
  14. D

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Cha Kumwongezea huyu kijana...Kwanza he is young and stressed hivyo unajaribu kutafuta mtu wa Ku blame...Ni sawa na mtoto amevunja glass nyumbani hajui thamani yake anajaribu Ku anticipate adhabu atakayoipata baba|mama akirudi...Alafu kumbe ilikuwa ni swala la kwenda kununua tu wazazi...
  15. D

    Ni zipi ni amri kweli zile 10 za Mungu

    Tulio wengi tuliokulia kwenye mafundisho ya kikristo tunajua au tumewahi fundishwa kuhusu amri 10 za Mungu ambazo zina umaarufu Sana ndani na nje ya ukristo. Shida niliyokutana nayo ukubwani kwangu ni mpishano Wa amri hizi kutoka dhehebu moja kwenda lingine ambayo ikanifanya nijiulize Kama zipo...
Back
Top Bottom