Trump alipomtembelea Papa Fransis Vatican

VATICAN WANEENDA VIONGOZI WENGI SANA,WAWE VIONGOZI WA NCHI,VIONGOZI WA KIDINI UKRSTO/UISLAM NA NK. WOTE WANAPOENDA PALE NI LAZIMA WAWE WA POLE SANA,UNYENYEKEVU. MWINGI SANA .

KUBUSU PETE YA PAPA NI MOJA WAPO WA UTII WA VIONGOZI HAO KWA PAPA,HAPO NDIPO UTAJUA PAPA NI ZAIDI YA TUNAVYOMUONA ANA AGENDA NZITO NYUMA. YA PAZIA. TAFAKARI SANA
warumi ndio watunzi wa ule uzushi unaoitwa yesu na biblia na kuifanya dunia kuwa watiifu na wapole,they pay homage
 
Acha ulimbukeni wewe weka ushahidi hata wa picha kuonyesha shehe anabusu hiyo pete.Kwa taarifa yako kama hujui sisi tunawapenda watu wa kitabu
Blue sea wanamiliki jua..Saudi..The black stone wana Miliki mwezi both serve the Dragon of Rev 12:9...Benki kuu ya America ni private bank ajabu ilioje kwa nini Trump asiwe na adabu Jfk alijaribu but tuliona kilichotokea hakuna wa kuzuia Jesuits....
2c94d5da18470cf4fc850e06dd5c26ec.jpg
 
Unabii unatia soma maandiko update maatifa ya kumjua mungu huku tuendapo ni matimilivu ya siku za mwisho km marekan kaenda kwa papa watafute aman ,hakuna aman itakayokuja ila ni harakati za muungano kati ya selikali na Kanisan ili amri ya kuabudu na kuisujudia jumapili itimilike lkn ukwel utabaki hakuna cha aman hapo itakayoletwa aman ya kweli ni yesu mwenyewe ,mwenye macho aambiwi ona, yote hayo yalishatabiliwa asiyesoma maandiko hawez na vitabu by a roho ya unabii hawez jua
 
warumi ndio watunzi wa ule uzushi unaoitwa yesu na biblia na kuifanya dunia kuwa watiifu na wapole,they pay homage
Siamini kuwa kitabu cha dini fulani kinaweza kuthibitisha kuwa dini nyingine sio halali. Ok kama Biblia na Yesu ni vitu vya kutungwa na warumi, hebu tuambie na Quarani ni uzushi uliotungwa na nani!!? Utuelezee na vitabu vya dini zingine. Maana inaonekana upo deep kwenye haya mambo ya imani za dunia hii
 
mkuu mimi sio mkristo wala sio muislam
 
Back
Top Bottom