acha upumbavu we gamba, kwani msanii ni kioo cha jamii na kazi yake kuelimisha, kuburudisha na kusimumua, yaan m2 akitoa elimu kwa jamii bac ni mfuwac wa cdm. Achen unyanyasaji wa kipumbavu
Alilosema Pianda jana 'liwalo na liwe' ilikuwa siyo kejeli.? Au mnaona vya wengine tu..na bado hadi 2015 yatafanyika mengi. Jasho la mlpa kodi hilo mtalioga mwaka huu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.