Wananchi wazuia msafara wa Mbowe

Wananchi wazuia msafara wa Mbowe

Zama za unyonyaji zimekwisha.safi sana cdm endeleeni kukinukisha.
 
Hii speed ni nouma!..
Hivi ikifika 2015 itakuwaje sasa???
 
M4c ni zaidi ya kimbunga,ngome ya CCM ambayo ilikuwa ni vijijini tayari inaanguka...
Mungu ibariki TANZANIA.
 
Msafara wa JK unazuiwa kwa mawe, wa CDM unazuiwa unazuiwa angalau kiongozi asalimie raia. This is a political gape! Is'nt it?
 
Arcado Ntagazwa bado yupo?

Hilo ndo umeliona la maana ktk hoja nzima! Ee Rabi waone huruma watz ili kuondoka na huu ukatili toka kwa hawa wakoloni weusi.Hv jamani ndo tulikofikia huko? Yaani Tz kila mtu na lake hapa serikali, hakuna kila jambo shagarabagara.
 
mbona hii salamu yetu inataka kupungua sana siku hizi humu jamvini yaani pipooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzzz..........................................
 
Back
Top Bottom