mjomba wa kale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 266
- 56
zomea serikali woooooooooooooooooooooooooooooh! zomea CCM woooooooooooooooooooooooooooooooooooooh!
Kwa mujibu wa spika serkali haitatoa taarifa yake kama ilivyotangazwa hapo, Akitoa sababu Spika Makinda amesema ni kutokana na Mhimili wa mahakama kusema inaingiliwa katka majukumu yake.
Kwa mujibu wa spika serkali haitatoa taarifa yake leo kama ilivyotangazwa hapo jana, Akitoa sababu Spika Makinda amesema ni kutokana na Mhimili wa mahakama kulalamika unaingiliwa katka majukumu yake, Kwani suala hilo lipo mahakamani.
Mizengo Pinda ametangaza kusitisha Serikali kutoa tamko lake kuhusu mgomo wa madaktari, ambao ulitakiwa kutolewa leo kama alivyoahidi jana Bungeni.
Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni na Waziri Mkuu, Pinda, alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe, aliyetaka kujua Serikali ina mipango gani ya dharula ya kuumaliza mgomo huo.
Alisema kwa hivi sasa, Serikali imechukua dharura, kwa kuwaita madaktari wastaafu kwenda kwenye baadhi ya Hospitali za Serikali kushika nafasi maeneo ambayo madaktari waliogoma. Vilevile Serikali imewataka wananchi waende kuhudumiwa kwenye hospitali za Jeshi, ikiwemo Lugalo.
Kuhusu Dkt Stephen Ulimboka, Mhe. Pinda ameseama kuwa hata yeye alipopokea taarifa kuwa Dkt. Ulimboka ametekwa na kupigwa na kwamba alisikitika sana, na anamuombea apone haraka ili waendelee na suluhisho la mgomo huo wa madakatari.
Waziri Mkuu amemuagiza Waziri wa Mambo ya ndani kuunda jopo la wataalamu kuchunguza kwa haraka kuhusu tukio hilo.
My take:
1. Je, kuwaita wastaafu kuhudumia ndiyo suluhisho mbadala?
2. Serikali kuwataka wananchi wakahudumiwe hospitali za jeshi! Je zinatosha maana hospitali zenyewe nyingi ziko mijini. Sasa sie wa vijijini tunaenda wapi?
3. Kweli Serikali yetu ni dhaifu!
sie tulio mikoani tutafikaje

WEAK President, WEAK prime minister, WEAK govt, WEAK judiciary system...
Another silly season!!!