farmersdesk
Senior Member
- May 26, 2012
- 164
- 120
msaada jamani nifanyeje???
Sim aina gan?
Si utaje jina la hiyo software?? Alafu unaeleza kama unaogopa?? watu hatujui hapa....alafu unabana banabaaaa!!! funguka mzeeInategemea na aina ya simu. Kabla sijaibiwa ka Nokia kangu Nokia 9500, ilikuwana internal modem yenye seep ya ajab sana. Sasa ungesema aina ya simu tukusaidie na kam una software yake. Kwakifupi ukisha konect kwa komputa alafu unafungua hiyo software, kisha unaenda sehemu ya Internet na kisha unaclick connect alafu unakuwa connected na kutokea hapo inafanya kazi kama modem ya kawaida. Unaweza kuminimize na kufungua mozilla or internet explorer yoyote.
kama unatumia nokia tafuta software inaitwa nokia pc suiteSi utaje jina la hiyo software?? Alafu unaeleza kama unaogopa?? watu hatujui hapa....alafu unabana banabaaaa!!! funguka mzee
Unauliza cm ya aina gani alafu unachimba!!!! watu wameshatoa aina za cm, sio lazima kwa muanzisha mada tu aseme ni cm ya aina gani ndo umsaidie...inaonyesha unaongeza post tu "gud gae"Sim aina gan?
me natumia htc,os yake ni android. hiyo unaconnect aje?
NOKIA C1 je?
nenda settings za connection na tafuta tether mode,connect usb,enable usb debugging,activate tether mode.ukikosa nenda google play,download pdanet,ukidownload chagua tether itaku direct kwenye link kudownload kidude utakacho install ktk pc ili ukonectie cm yako,ukisha kiinstall connect usb enanle usb debugging activate pda net kwenye cm na pc,u r done.unaweza tumia pda kusupply net kwa bluetooth,usb or wifi.hope i saved,enjoy.
nenda tools then modem,jaribu tho cna uhakika kama ipo ktk c1
kama unatumia samsung GT-C3222 je?