Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,994
- 774
Pamoja na ukweli huo wa kumtaka Pinda ajiuzuru kwa kushindwa kutatua tatizo la madaktari lakini ukweli utabaki kuwa Lisu aliuliza swali la nyongeza kwa sauti (Tone) ya kejeli na hivyo kumfanya Pinda kukasirika!
Ni maoni yangu kuwaasa wabunge na hasa wa upinzani watumie lugha ya heshima na laini wanapouliza maswali magumu au kutoa hoja ngumu kwa serikali!
Ndugu, liserikali lenyewe lisivyo sikivu nalilivyo dhaifu na legelege ukilisema kwa lugha laini litakuelewa? Waache wapinzani walifokee bwana tushalichoka.