Recent content by damtanzania

  1. damtanzania

    Je kwa kutumia smartphone naweza kufanya jumla ya mambo mangapi?

    Hebu nitajie some of educational apps
  2. damtanzania

    Arusha: Ndege ndogo yenye usajili 5H-SAL yapata ajali na kuua rubani aitwaye David Mbale

    Maskini David, namjua huyu kijana, yupo poa sana Alafu Ni familia bora fulani, Ni mtoto wa pekee kwa mama yake. Daah sipati picha mama yake yupo kwenye hali gani. RIP rubani, RIP David,RIP mshikaji.
  3. damtanzania

    Uganda: Mwanamke Mariam Nabatanzi mwenye miaka 39, azaa watoto 44 na mume mmoja. Alianza kuzaa akiwa na miaka 13!

    Huyu anaonekana anausikilizia utamu sana, khaaa! Naona kaamua kuzaa kwa niaba ya wagumba wooteee!!
  4. damtanzania

    Nahitaji rafiki wa kike.

    Una matatizo gani..![emoji15]
  5. damtanzania

    Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

    Nakubaliana na wewe, wabongo ninavyowajua Kama kuna mwengine aloe tobolewa na scorpion angeshajitokeza tuu
  6. damtanzania

    Makapuku Forum

    Miss u all buddies
  7. damtanzania

    Nauza ID yangu ya "Mudawote"

    Asante, situmii.!
  8. damtanzania

    Young D: Sijakamatwa na polisi ila nilikuwa nashoot video ya wimbo wangu mpya

    . ... Huku camera woman wakimteta na mtu kuwa anatumia madawa[emoji2] [emoji2] Hii dunia haieshi vituko
  9. damtanzania

    Mtoto wa mwaka mmoja agundulika kuwa na nguvu za kiume na hamu ya ngono huko India

    Mungu anisaidie na aniepushe na hayo majaribu. Naanzaje kumnyoa mavu huyo mkubwa mwenzangu? Mie hata kumnyonyesha ningeacha hakyamungu. Maana nahisi chochote nachomfanyia nitamsababishia mhemko.
  10. damtanzania

    Zijue mbinu za wanawake wanazotumia kuchepuka bila kukamatwa

    Mfumo dume at work.. Bila shaka utakuwa na undugu na nyegere..
  11. damtanzania

    Hasara za kuvaa chupi

    Chupi, chupi, chupi Ngoja niseme hivi: Chupi ni nzuri sana, ila chupi inataka uwe msafi hasa, inabidi mtu uwe na chupi nyingi, za kubadilisha kwa uchache kutwa mara tatu. Na ziwe si za kubana na ziwe za cotton. Thongs, g strings, mtumba, MARUFUKU! Kutawadha kwa maji, ni jambo zuri...
  12. damtanzania

    Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Basi kama ndio hivyo inaonyesha kwao wote wana matatizo si bure[emoji23] [emoji23]
  13. damtanzania

    Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Hivi huyo akwilina ndio yule aliyeimbwa kwenye ule wimbo: [emoji445] [emoji450] [emoji441] akwilina weee, tulimalize tatizo, ooh nono, akwilina mpenzi nakupenda Msinikasirikie nauliza tuu[emoji85]
  14. damtanzania

    Makapuku Forum

    Nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi sasa
  15. damtanzania

    Makapuku Forum

    Amina.
Back
Top Bottom