Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

Ukweli ni upi kuhusu tukio la Scorpion wa Buguruni?

Mkuu wa hapahapa, tangu hili sakata limeanza, wewe umeshamsikia mhanga mwingine? Kumtoa mtu macho ni unyama na Scorpion aadhibiwe kwa unyama huo at the same time tusikie kisa cha Said kutolewa macho, isije kuwa tunampa mtu sympathy ilopitiliza ilhali hastaili, mambo mengi huwa yana mambo mengi nyuma ya pazia.
Nakubaliana na wewe, wabongo ninavyowajua Kama kuna mwengine aloe tobolewa na scorpion angeshajitokeza tuu
 
Sio mioyo ya watanzania...andika baadhi ya mioyo ya wakurupukaji wasio juwa Sheria.

Kama hujui Sheria usiandike uharo hapa.
Kila mshtakiwa anayo haki ya kusikilizwa kwa mujibu wa Sheria. Sasa unavyokuja kutujazia server kwa kuandika vitu visivyo na mashiko next time tutabofya kitufe na ndio utakuwa mwisho wako hapa JF.
Kama huna la maana la kuandika piga kimya.



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala amesema kwa taarifa iliomfikia toka kwa timu ya Serikali ilioagizwa kufika na kufuatilia sakata la Dogo kufunzwa adabu amesema ripoti inasema mitoto ya shule ya Mbeya Sec ni mijeuri na mikaidi ilio mithirikia.

''Kwahiyo kama ni mijeuri na mikaidi ndio wanatakiwa wapigwe kama vile alivyopigwa yule dogo kwenye ile video''
 
mwenye sauti ya mke wa Said akisema mmewe alienda nyumbani kwanza na akaacha funguo za kazin na kuondoka....aitupie humuu....
 
Watz mnajua sana kuunganisha dots! Hv mnataka kusahau mapema hv machungu ya unyama huu na kuanza kumtakasa mtu kwa utafiti wa kufikirika kama huu! Daaa tz yetu jmn! Huyu mtu ameshapoteza duniani watu zaidi ya 4 bado mnatafuta ukweli buguruni? Binadamu tumepewa kipaji cha kusahau haraka!
tumepewa akili tuzitumie
 
Hapa kuna mchezo unaoendelea mkubali mkatae!!hii ni sawa na wale wapiga kareti wa Arusha walivyopotezwa mmoja mmoja mpaka wameisha kwa kisingizio cha ugaidi!!saidi ana siri kubwa moyoni mwake,basi tu ndo hivyo kaangukiwa na zali,na hii yote ni mipango imepangwa ikapangika!!buguruni tunayoijua saa 4 ndo kwanza kumekucha,ushambuliwe usipate msaada!?nyomi lote hilo!?hapa kuna namna,hasa nikiwakumbuka ma sensei wa Arusha !!cku si nyingi mtasikia 'nge'kapigwa risasi alipokuwa anajaribu kutoroka chini ya ulinzi wa polisi!!
 
Kwa jinsi ulivyomwelezea anaweza kuwa mhusika,

eti alikuwa misaada kwa wanaoporwa Mara nyingi watu aina hii huwa wanafahamiana na majambazi na hujifanya wanawezakukuonyesha vitu vyako vilivyoibiwa au hata kufanikisha kuvipata.

Kwa ufupi huwa ni kaka zao vibaka yaani wao ni majambazi walio na uwezo kufanya matukio ya kutisha kuliko vibaka ndio maana hata vibaka huwaogopa.

Tafuta utetezi mwingine.
 
Unajua watu wengi wamelishwa maneno na kuona moja kwa moja kuwa scorpion anahatia na atafungwa! Mi binafsi naona nafasi ya scorpion kuachiwa huru na mahakama ni kubwa kuliko kufungwa" kama raia wanasema hakuwa kibaka, mashahidi atakao kuwa nao watakuwa wakupangwa ambao mahakamani watagaragazwa, hivi mlalamikaji atamtambuaje mtuhumiwa mahakamani!?
Si ndio maana aliamua kumutoboa macho ili asimtambue

furahi maana hatafungwa ila akitoka usishangae akamtoboa macho shangazi yako usilalamike
Jasiri haachi asili.
 
Mtoa mada hakua na sababu ya kutonesha mioyo ya watanzania, hivi aliyetobolewa macho angekua kaka yake angeandika haya ambayo dhahili yanaonyesha kutetea vitendo viovu vifanyavyo na watu wachache! Kila mwema ana baya lake na kila mbaya ana jema lake pamoja na Wema woote wa scorpion ubaya wake ni kutuhumiwa kumtoboa macho mwenzie
Una maana gani unaposema Hastahili? ina maana humuhulumii kijana mwenzio ambaye maisha yake yamebadilishwa kwa muda mfupi sana kutoka kuona nuru kwenda kuona kiza
Scorpion hastahili hata kusikilizwa kwa unyama alioutenda akiwa na akili timamu.
Hata kama angekuwa mtu mwema kiasi gani...
Ingekuwa alimuibia mali zake akamuachia macho yake huenda tungesema ni hali ngumu ya maisha (japo halina uzito kihivyo ila afadhali kuliko alichokifanya)

Nakumbuka mapovu yaliwachuruzika hapa na kulialia tu...sasa Scorpion keshapangua la kwanza...let us wait and see
 
Nakumbuka mapovu yaliwachuruzika hapa na kulialia tu...sasa Scorpion keshapangua la kwanza...let us wait and see
Kwaiyo??unataka kumjibu kila mtu? Huu sasa wehu ,hayo unayoita mapovu ni Mawazo yangu sielewi unasumbuka na nini,ni mwenye roho mbaya tu ndiye atafurahia kitendo alichofanyiwa Said,mimi ni mama assume kwamba saidi ni mwanangu je ningefurahia Leo hii kijana wangu awe mzigo mbele yangu? Sasa si bora angemuua tu ingejulikana moja! Muda utaongea kesi hii bado sanaa
 
Huyu said pia kuna tatzo kwake.haiwezekan mtu tu frm no whre aje anze kukuchoma vsu na kkutoboa macho.kinyoz tu unadai mfukon kulkua na malak mara bajaj mara kuku bugurun.si kwa maisha haya ya vnyoz wa daa slum
 
Maneno maneno kwisha jamaa yuko huru yaonekana kesi hana nmeona makondakta akihamaki asijue lakufanya
 
Habari ya kijana kutolewa macho imekua habari kubwaaa watu wamezungumza mengi kuhusu tukio hili alilolifanya kijana maarufu jina la scorpion,wengi wamemzungumzia kumuhusu yeye binafsi kuwa mwanamazoezi mkakamavu,mpiga karate .Kum -fuu.na pia ni mlinzi maarufu pale buguruni.

Upande wa pili wanajamii mnaomfahamu mhanga wa tukio ana shughuli gani, tabia na mienendo yake kwa ujumla ili tupate picha halisi ya sababu ya kutokea kwa tukio hili?
 
Habari yako kijana kutolewa macho imekua habari kubwaaa watu wamezungumza mengi kuhusu tukio hili alilolifanya kija maarufu jina la scorpion,wengi wamemzungumzia kumuhusu yeye binafsi kuwa mwanamazoezi mkakamavu,mpiga karate .Kum -fuu.na pia ni mlinzi maarufu pale buguruni.Upande wa pili wana jamii mnaohamfahamu mhanga wa tukio anashughili gani,Tabia na mienendo yake kwa ujamla ili tupate picha halisi ya sababu tukio hili?
hili muhimu. sio kusema kaonewa au anapendelewa, njooni mnaomfahamu...
 
Habari yako kijana kutolewa macho imekua habari kubwaaa watu wamezungumza mengi kuhusu tukio hili alilolifanya kija maarufu jina la scorpion,wengi wamemzungumzia kumuhusu yeye binafsi kuwa mwanamazoezi mkakamavu,mpiga karate .Kum -fuu.na pia ni mlinzi maarufu pale buguruni.Upande wa pili wana jamii mnaohamfahamu mhanga wa tukio anashughili gani,Tabia na mienendo yake kwa ujamla ili tupate picha halisi ya sababu tukio hili?
Inasemekana ati"alikua dalali wa vitu vya wizi,vibaka wakikwapukua huko hupelekewa mzigo kwa ajili ya kutafuta wateja"
 
Kweli maana mnatuchanganya wengine wanasema alietolewa macho ndo mfadhili mkuu wa vibaka Scorpion ni mlinzi wa vibaka tupeni taarifa zaid, pia kama kuna watu wengine waliotobolewa macho wajitokeze,pia alietobolewa auaje ukweli wake atuweke wazi kuhusu tuhuma hizo ili tupate balance mizania ya ukweli hali sababu bila chanzo huwezi kumdhuru MTU na watu wanaangalia ni lazima kuwe na chanzo
 
Back
Top Bottom