Recent content by Daktari wa minyoo

  1. Daktari wa minyoo

    Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

    Mie nahisi hakuna hali ya hatari yoyote iliyotangazwa hata kimyakimya make naona ni kama biznes as usually tu. Leo ka Jana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Daktari wa minyoo

    Kwanini biashara nyingi zinakufa baada ya baba au kichwa cha familia kufariki?

    Ni shida sana kwakweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Daktari wa minyoo

    Kwanini biashara nyingi zinakufa baada ya baba au kichwa cha familia kufariki?

    Tatizo wazazi wa kiAfrika wengi akianza kuona unataka kuwa karibu na biashara yake/zake hata kama kujifunza tu mbinu mbalimbali, anaanza kuhisi unatafuta slope ya maisha ya kuusakaa urithi mapema, hivyo wanatukata stimu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Daktari wa minyoo

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ningependa kufahamu jina la wimbo pamoja na mwanamziki aloimba afro-zouk moja hv napata kaverse flan hv " ngayo naleliee eeeh eeh" ni mdada flan hv ss sema kwakweli nimeutafuta sn huo wimbo ni wa kitambo kidogo bila mafanikio yoyote, mwny kuufahamu tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Daktari wa minyoo

    Airtel Kwa hii spidi yenu ya internet HAPANA

    Asee nilifikiri ni mimi tu, yani leo nimeshinda ni mwendo wa 0.00-2.00K/s, mpaka nikaamua niwakimbie kidogo kwa leo japo nimejiunga kifurushi cha wiki. Mie ningependa kuwashauri labda kwny bando zao wafute kabisa option za data. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Daktari wa minyoo

    Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

    Asee JF tamu kweli yani waeza kuta uzi ni chai tupu bila vitafunwa lakini huwezi acha ipitia kila siku na kucoment. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Daktari wa minyoo

    Misimu ya maisha

    Pole sana mkuu hayo ni mapito tu, keep on fighting. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Daktari wa minyoo

    Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

    Kuhusu kukata simu baada ya kutumiwa sms sishangai kabisa. Ila tu nina maswali mengi sana juu ya hao wanaompatia ushauri huyu jamaa. Kwanini mnamfanyia kijana mwenzenu hivyo lakini???! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Daktari wa minyoo

    Ndani ya pazia juu ya malalamiko yanayohusu rushwa ya ngono (intern) katika Hospital ya Rufaa ya Mbeya

    Umeongea pointi sana bbie, unajua haina hii ya rushwa ni jinsia moja tu ndo huwa wanai-experience ndo maana watu wanaichukulia kama kitu kidogo sana, Mie nafikiri dada zetu mna experience sn na hii kitu. Mie kuna kipindi nikiwa chuo niliwahi kuombwa rushwa ya pesa kupata haki yangu, kwakweli...
  10. Daktari wa minyoo

    Elimu ya kwenda mpaka Chuo Kikuu ni kujichelewesha kuingia kwenye system mapema

    Sasa na sie madaktari wote tungeamua kuosha magari ungetibiwa na nani ndugu, ume-neglect vitu vingi vya msingi sana kwenye hii hoja yako.
  11. Daktari wa minyoo

    Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

    Kwa wengine bado kipo ati, ushajatibu menu ya *159*81#?!
  12. Daktari wa minyoo

    Mshkaji kaja kukaa kwangu akidai ni kwa muda ila sasa naona hana mpango wa kuondoka

    Kabisa make inabidi na ww utumie ubongo wako vizuri kabisa kwani sio kila binadamu ni mzuri na sio kila binadamu ni mbaya, kama mtu unaemhifadhi anajielewa labda changamoto za maisha tu ndo zimemfanya atafute hifadhi huyo waeza muhifadhi. Lakini ss kama ni type ya janja janja nyingi na ujuaji...
  13. Daktari wa minyoo

    Nimeachwa na hisia mchanganyiko na huyu mrembo

    Hahaaa! Sio kama bata maji asee.
  14. Daktari wa minyoo

    Nimeachwa na hisia mchanganyiko na huyu mrembo

    Duh! usinifanye nikutimbie pm bbie.
Back
Top Bottom