Vifurushi vya Airtel vya chuo vimeondolewa

Hii sio ile boycott ya kisiasa ya kugomea Voda, hii wamegusa mifukoni mwa watu subiri wataona tu matokeo.
Uzuri wana mifumo ya Business Intelligence(BI) wataona tu trend ya kushuka mapato ndani ya mwezi mmoja au wiki mbili tu.
 
Watakapostuka wakirudisha huduma hii watakuwa wamechelewa watu wamesha hama, wengi hawana taarifa kama huduma imerudi.
 
Mkuu nilikuwa nataka kuanzisha thread kuwaambia Airtel wanaenda kupoteza wateja wao muhimu loyal customers hasa watumiaji wa kile kifurushi cha Uni cha Siku 3 1GB@1000/-. mara nikaona hii thread.
Hawa jamaa watajutia huu uhamuzi wao.

Watu tuna miaka mingi Airtel sababu ya vifurushi vyao vya uhakika vinavyo unganisha Data na Muda wa maongezi.

Narudi kwenye line zangu za mitandao mingine, kama vipi naenda TTCL kabisa nasikia nyumbani kumenoga.
hivi ulikuwa unajiunga vipi
 
hivi ulikuwa unajiunga vipi
*149*99#, Chagua Namba 7 Uni, Kisha Namba 2.
Hapo namba 2 ilikuwa 1000/- unapata 1GB, 100Min Airtel-Airtel, 10Min Mitandao yote, SMS 1000 kwa siku tatu.
Ilikuwa inapatika kwa wateja maalum tu watumiaji wakubwa wa data na dakika, wateja wa muda mrefu.

Sasa haipo wanakupa madakika kibao ya kuongea bila kifurushi cha net.
 
Hapana ni *149*81#

Nimenunua bundle la UNI muda huu huu Mkuu
Basi wamerudisha, au umenunua kwa airtel money huenda bado kipo.
Sisi tunaolalamika tumetoka kujiunga na kukosa leo hii hadi saa 6 mchana.
 
*149*99#, Chagua Namba 7 Uni, Kisha Namba 2.
Hapo namba 2 ilikuwa 1000/- unapata 1GB, 100Min Airtel-Airtel, 10Min Mitandao yote, SMS 1000 kwa siku tatu.
Ilikuwa inapatika kwa wateja maalum tu watumiaji wakubwa wa data na dakika, wateja wa muda mrefu.

Sasa haipo wanakupa madakika kibao ya kuongea bila kifurushi cha net.
Nina line yao naitumia kile cha mwezi 4000 tu!
 
Kwa wengine bado kipo ati, ushajatibu menu ya *159*81#?!
Screenshot_20191129-145843.jpeg
 
Na mimi nimegundua hilo leo nataka kuwrka kifurush cha chuo wiki nakuta bila bila ni dakika za kutosha tu no mbs
 
Baada ya kuona hii thread nikaingia chap kuijaribu UNI ya cku 3,nimenunua kupitia airtel money na imekubali kiroho safi
 
*149*99#, Chagua Namba 7 Uni, Kisha Namba 2.
Hapo namba 2 ilikuwa 1000/- unapata 1GB, 100Min Airtel-Airtel, 10Min Mitandao yote, SMS 1000 kwa siku tatu.
Ilikuwa inapatika kwa wateja maalum tu watumiaji wakubwa wa data na dakika, wateja wa muda mrefu.

Sasa haipo wanakupa madakika kibao ya kuongea bila kifurushi cha net.
Ebu tumia hii pia. *149*81# then number 4
 
Baada ya kuona hii thread nikaingia chap kuijaribu UNI ya cku 3,nimenunua kupitia airtel money na imekubali kiroho safi
Nilihisi hii kupitia Airtel money itakubali.Wengine tumeacha kutumia airtel money.
 
Back
Top Bottom