Mshkaji kaja kukaa kwangu akidai ni kwa muda ila sasa naona hana mpango wa kuondoka

Msaidie, wema hauozi, who knows?? Only God knows.
Usimufukuze, tenda wema msaidiye kadri uwezi you, always tommorow is better than today, maisha mzunguko leo kwako kesho kwake. Katika maisha usitukane mtu, kudharau, usijione bora zaidi ya mwingine, saidia kadri uwezavyo, huyo jamaa yako anaweza kuwa God father wako uko mbeleni, maisha ya vitu vya mwonekano visikupe kiburi na dharau, kuna watu baba zao walikuwa vingunge serikalini kipindi7cha nyuma walikuwa Bata sana, leo hii wazee wao hawapo duniani maisha yao yamekuwa ya kuungaunga tu na wale waliokuwa wanawadharau ndiyo maisha wametusua sana. Hivyo kihari ulichonacho kisikupe kiburi na kunyanyapaa mwenzako,
 
Hali ya hivi ilishawahi kunitokea. Nikamchana tu mwana kwamba mkataba wetu ulikuwa mwezi mmoja, ukaisha ukaomba mwingine wa ziada ndo huu unaisha kwa hiyo yafaa ukajisimamie sasa.

Mi sipendi kumuonea haya mtu ambaye hanionei haya ndani ya makazi yangu.
 
Usimufukuze, tenda wema msaidiye kadri uwezi you, always tommorow is better than today, maisha mzunguko leo kwako kesho kwake. Katika maisha usitukane mtu, kudharau, usijione bora zaidi ya mwingine, saidia kadri uwezavyo, huyo jamaa yako anaweza kuwa God father wako uko mbeleni, maisha ya vitu vya mwonekano visikupe kiburi na dharau, kuna watu baba zao walikuwa vingunge serikalini kipindi7cha nyuma walikuwa Bata sana, leo hii wazee wao hawapo duniani maisha yao yamekuwa ya kuungaunga tu na wale waliokuwa wanawadharau ndiyo maisha wametusua sana. Hivyo kihari ulichonacho kisikupe kiburi na kunyanyapaa mwenzako,
Tatizo jamaa huyo inaonekana hajiongezi tu sio kitu cha kawaida mwanaume unakaa zaidi miezi miwili bila kufanya shughuli yoyote tena ni mzima wa afya ni dalili ya uvivu ningemshauri amwambie jamaa yake atembeze ata viungo madukani sio mtaji mkubwa ampe elfu 30 tu sio busara kukaa tu ata biblia inasema asiyefanya kazi na asile
 
Nimepitia sana ishu kama hizo,kama mwana unamuona anahangaika kutafuta mishe vumilia,ila kama amechill tu anashinda anaangalia CHAKOLII kwenye hako kalaptop ulikomaliza nako chuo mtimue mana hapo anakua kama mke wako ukamtafutie,kamwe usimfukuze kama unaona anajituma kupata mishe.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
1. Nimebanwa
2. Bill zote nalipa mimi
3. Sijui anaondoka lini

Nimesoma kwa umakini lakini nimegundua tatizo ni wewe na sio rafiki yako.
1. Suala la atakaa siku ngapi ilibidi ujadili naye alipokuwa anakuja. Hii inaonyesha hauna umakini katika maisha. Kijana wa chuo unashindwa kuuliza details muhimu za mgeni wako?!
2. Unakubali vipi kuja "kusalimiwa" na kijana mwenzio wa kiume?! Mtu ambaye mnawasiliana kwa simu inafikaje hatua ya kutaka kuja "kusalimiana". Wasichana ndio huwa na haya mambo sio vijana wa kiume waliopevuka. Labda kama mnaishi majirani au maeneo ya karibu ndio mshikaji anaweza kuja weekend mkapiga story masaa kadhaa na kisha akarudi kwake/kwao.
3. Huna uwezo toshelevu kukaa na mtu; kama ambavyo umesema kwamba ndio unaanza maisha, hiki ni kipindi kigumu kwako na unahitajika kuwa makini sana. Ukianza kwa namna hii basi sioni ukitimiza malengo yako. Malalamiko ya kumtunza mtu mmoja ni ishara tosha kwamba hujiwezi.
4. Mwambie huyo rafiki yako kuwa kwa sasa huna uwezo wa kum-support na kuishi naye hapo kwako kwa sababu hata wewe mwenyewe mipango yako haijakaa sawa. Mueleze ukweli kuwa nia ilikuwa kuja "kusalimiana" na sio "kuishi" pamoja.
Kisha mpatie nauli na baadhi ya nguo chache kama zawadi ili arudi nyumbani.

Usimuondoe hapo kwa uongo. Uongo ni dhambi.
Pole kwa changamoto unayopitia.
 
bro, kama huyo rafiki anajielewa na anajituma kutafuta pesa,wee mvumilie tu ikitokea kazi mshitue ,ila kama ni mtu asiejituma kazi kula na kula na kuenda pasipojulikana timua
nilishwahi kuishi na jamaa mwaka jana yeye bana kazi yake anayofanya ni kutafuta tu watoto wakike mitandaoni na alikua anabahatika watoto ambao wako vzuri kifedha ,yeye hana mishe yoyote anayofanya zaid ya kudanganya wazazi kwamba anasoma chuo so walikua wanamtumia pesa ya matumizi yani nilichoka kinyama kwa hzo exile zake na maduu wake nikaamue nimtimue mana nilishwamwambia ukweli siku nyingi ila hakubadilika
Kabisa make inabidi na ww utumie ubongo wako vizuri kabisa kwani sio kila binadamu ni mzuri na sio kila binadamu ni mbaya, kama mtu unaemhifadhi anajielewa labda changamoto za maisha tu ndo zimemfanya atafute hifadhi huyo waeza muhifadhi.

Lakini ss kama ni type ya janja janja nyingi na ujuaji mwingi afu kula kulala, unaweza jikuta unalisha njemba miaka hata mi2 for nothing, afu kibaya zaidi yawezekana huo ndo mtindo wake wa maisha yani ni mshikaji wa kudunda dunda tu kwny mageto ya washkaji kwa kisingizio cha kujiegesha akitafuta michongo kumbe mtu anasogeza siku hivyo na maisha ndo yanasongo. Wanasema mjini shule.
 
True
 
Pole sana... Maisha haya, usimuonee mtu haya wakati unaumia... mwambie ukweli...

Au laah aanze kuchangia huduma...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom