Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

Achana na Mama wa watu. Mwanaume gani unataka kushindwa kimtihani kigogo namna hii!
 
Ooooooooooooh....acha acha acha kbs huo ujinga Buda,
Hadi leo siongei na rafiki yangu kwa ujinga wangu.
Mshkaj ni fighter sana sasa kuna biashara alitaka kuianzisha na mm ni mzoefu ikabidi anizoee kwa lazima ili nimpe mbwinu mbalimbali za kutusua ktk biashara hio.

Mazoe yakazd akanitambulisha kwa mama yake ambae alikua single mother Kama rafk wa faida.
Mama akanielewa kuna cku nikaktana nae kibanda Cha matunda akaomba namba daaaah!!! Baada ya hapo akaanza usumbufu ikabd nipige makasia...asalaleeeee....maza akawa anakuja kwangu analala...cku ya tukio mshkaji alikuja ghafla kwangu,kwakua mm ni msela then utan mwingi huwa anazama kwangu Kama kwake...mlango ulikua wazi mm Niko toilet jamaa akazama seblen huku ananiita ....akaingia Hadi chumbani happy ndipo nilipockia sauti ya mshangao eti.."aaaaahh mama kwann unanidhalilisha kiasi hiki" jamaa akawa ananiita kwa hasira ikabidi niamshe....
Kilichofata sasa....................hatareeee


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Hii haina tofauti na kumtaka kimapenzi mke wa mtoto wako
 
Kuhusu kukata simu baada ya kutumiwa sms sishangai kabisa.

Ila tu nina maswali mengi sana juu ya hao wanaompatia ushauri huyu jamaa.

Kwanini mnamfanyia kijana mwenzenu hivyo lakini???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom