Nimeachwa na hisia mchanganyiko na huyu mrembo

Weka miguu yako tuone,..... Ukute wewe hapo ulipo una mikasoro kibao ila Umekuja humu kumnanga mdada wa watu....
Asee nimekugusa sana mama?!

hio hapo bbie!
IMG_20190729_221047.jpeg
 
Hapana make umeandika kama una-fake kama mshua flani hivi!!! Si unajua tena baadhi ya niggas wa JF kuji-ovarate.
Ahahahahah..hizo habar za kufake huwa sizikubal kabisaa.Nimeandika by experience cz hizo maeneo nilizozitaja nazijua kama kiganja cha mkoni wangu na nimeishi sana enzi naanza harakat za kuweka maisha sawa.hivyo tu yan.
 
Wewe nae umeshamsifia vitu vingi sura,ngozi ,chuchu, chura hivyo si vinakutosha? Hawezi kuwa na siga zote utakazo, avhana na miguu pigs sound upate mke
 
Kama umewahi kuishi huko pamoja sana, kwani mwenzako huko uswahilini ndo bado najivinjari kwa ss!
 
Hahaaah nimekupata mkuu.

Swali tu la kizushi, hiyo miguu kwenye avatar ni ya kwako lakini make iko gud sana?!
 
Kama umewahi kuishi huko pamoja sana, kwani mwenzako huko uswahilini ndo bado najivinjari kwa ss!
Huwez amin wakat nahamia pande hizo nikikua nakuonaje sijui yan.ila nilikuzoea kinyamaa kiasibkwamba siku naondokanpande hizo roho ikauma sana maana fujo na vituko vya uswaz vilishanikaa ingawa nilikua nacheza nao kwa step sana bila kuwa kanyaga.Kuna raha yake kwakwel ila kama ni mtu wa mishe zako ..sio full time uko uswaz..
 
Ofcoz ulifanya jambo la msingi sana kwani ungecheza kwa fujo hawachelewi kukupiga skadi.
 
Back
Top Bottom